Usajili kuongeza nguvu Yanga

Usajili kuongeza nguvu Yanga

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
4,140
Reaction score
9,667
Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa.

Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano.

Naamini GSM na eng Hersi mpo humu JF na ni wadau wakubwa wa jukwaa la Sports, hivyo mtapitia maoni yangu na hata msipopitia naamini yatawafikia kupitia wana yanga wenzangu.
Wachezaji naopendekeza wasajiliwe ni hawa.

1.Aggrey Morris; Yanga kwa sasa ina kosa kiongozi, Morris ni kiongozi tangu kuzaliwa ikizingatiwa makosa anayofanya Mwamnyeto Aggrey atafaa.

2. Benjamini Asukile; Huyu ni mpambanaji haswa ni aina ya wachezaji unao kutana nao ligi ya mabingwa. Si ajabu kukuta team imejaza kina Asukile hata tisa, tunahitaji wachezaji wa hivi.

3.Paul Nonga; Huyu atasaidiana na Mayele, sihitaji kumuelezea kila mtu anafahamu ubora wake, hasa siku aliyowakomesha makolo wote tuliona.

4.Mpoki mwakinyuki: ni kiraka kweli kweli, kwa sasa Yanga kiraka wa kweli ni Bangala, tunahitaji kiraka anayeweza kushambulia. Mpokiij ndio chaguo langu.

Una maoni gani mwana yanga mwenzangu Kuelekea klabu Bingwa kama Mungu akijaalia tuingie makundi?

Najua viongozi wangu wa Yanga ni wasikivu sio Chupli chupli kama wale wa makolo, mtaliangalia na Hili.
 
Yanga hakuwa Ugenini bali alikuwa mgeni Mwenyeji... mimi sitarajii makubwa, isitoshe hata makundi asifike, na akifika atakuwa wa mwisho,.. ni vile tu wa Tz tunajifanya kujua kuongea!
 
Sawa Kolo
 
Wewe ni kolo. ..
Unaongea kwa wivu.
Makolo hamhitajiki hapa
 
Yanga inachohitaji zaidi ni beki wa kusaidiana na Dickson Job au wa kucheza nafasi ya Dickson Job iwapo ataumia

Uongozi wa Yanga ulizingatie hili, Yanga bado haina beki za uhakika za kutosha.
Nililiona hilo Ndio maana nimempendekeza Aggrey Morris Mkuu...
 
Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa.

Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano.

Naamini GSM na eng Hersi mpo humu JF na ni wadau wakubwa wa jukwaa la Sports, hivyo mtapitia maoni yangu na hata msipopitia naamini yatawafikia kupitia wana yanga wenzangu.
Wachezaji naopendekeza wasajiliwe ni hawa.

1.Aggrey Morris; Yanga kwa sasa ina kosa kiongozi, Morris ni kiongozi tangu kuzaliwa ikizingatiwa makosa anayofanya Mwamnyeto Aggrey atafaa.

2. Benjamini Asukile; Huyu ni mpambanaji haswa ni aina ya wachezaji unao kutana nao ligi ya mabingwa. Si ajabu kukuta team imejaza kina Asukile hata tisa, tunahitaji wachezaji wa hivi.

3.Paul Nonga; Huyu atasaidiana na Mayele, sihitaji kumuelezea kila mtu anafahamu ubora wake, hasa siku aliyowakomesha makolo wote tuliona.

4.Mpoki mwakinyuki: ni kiraka kweli kweli, kwa sasa Yanga kiraka wa kweli ni Bangala, tunahitaji kiraka anayeweza kushambulia. Mpokiij ndio chaguo langu.

Una maoni gani mwana yanga mwenzangu Kuelekea klabu Bingwa kama Mungu akijaalia tuingie makundi?

Najua viongozi wangu wa Yanga ni wasikivu sio Chupli chupli kama wale wa makolo, mtaliangalia na Hili.

Yanga imekamilika kila Idara. Kwa Sasa icheze Mpira tu
 
Utatusamehe tu kwa kweli. Ila Yanga ya sasa wala haihitaji hao wachezaji ulio wapendekeza.

Kwanza ni average players! Pili hawana uwezo wa ku deliver chochote kwenye hayo mashindano ya Kimataifa! Achilia mbali Ligi kuu.

Siku ukija na pendekezo la Kelvin Nashon wa Geita Gold kuwa mbadala wa Yannick Bangala, na kiungo mshambuliaji Edmund John wa Geita Gold hiyo hiyo, hakika nitakuunga mkono faster.
 
Mkuu yanga yetu bado ina mapungufu.....
Hao wachezaji ni wa Muhimu sana.
 
hela ya kusajili hao wachezaji mtaitoa wapi na gsm pesa zote za udhamini kalipia madeni na usajili wa Aziz Kei!?
 
Back
Top Bottom