Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
- Thread starter
- #21
Tumeingia mkataba wa mabilioni wewehela ya kusajili hao wachezaji mtaitoa wapi na gsm pesa zote za udhamini kalipia madeni na usajili wa Aziz Kei!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeingia mkataba wa mabilioni wewehela ya kusajili hao wachezaji mtaitoa wapi na gsm pesa zote za udhamini kalipia madeni na usajili wa Aziz Kei!?
Tunamhitaji Asukile.
Hakuna mchezaji hata mmoha kuchezea yanga hapoBaada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa.
Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano.
Naamini GSM na eng Hersi mpo humu JF na ni wadau wakubwa wa jukwaa la Sports, hivyo mtapitia maoni yangu na hata msipopitia naamini yatawafikia kupitia wana yanga wenzangu.
Wachezaji naopendekeza wasajiliwe ni hawa.
1.Aggrey Morris; Yanga kwa sasa ina kosa kiongozi, Morris ni kiongozi tangu kuzaliwa ikizingatiwa makosa anayofanya Mwamnyeto Aggrey atafaa.
2. Benjamini Asukile; Huyu ni mpambanaji haswa ni aina ya wachezaji unao kutana nao ligi ya mabingwa. Si ajabu kukuta team imejaza kina Asukile hata tisa, tunahitaji wachezaji wa hivi.
3.Paul Nonga; Huyu atasaidiana na Mayele, sihitaji kumuelezea kila mtu anafahamu ubora wake, hasa siku aliyowakomesha makolo wote tuliona.
4.Mpoki mwakinyuki: ni kiraka kweli kweli, kwa sasa Yanga kiraka wa kweli ni Bangala, tunahitaji kiraka anayeweza kushambulia. Mpokiij ndio chaguo langu.
Una maoni gani mwana yanga mwenzangu Kuelekea klabu Bingwa kama Mungu akijaalia tuingie makundi?
Najua viongozi wangu wa Yanga ni wasikivu sio Chupli chupli kama wale wa makolo, mtaliangalia na Hili.
Unapokuwa wakala wa wachezaji jitahidi kuwapamba wachezaji wako kwa kutoa maelezo ya kushawishi, sio kila mtu anapigwa kiboya boyaBaada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa.
Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano.
Naamini GSM na eng Hersi mpo humu JF na ni wadau wakubwa wa jukwaa la Sports, hivyo mtapitia maoni yangu na hata msipopitia naamini yatawafikia kupitia wana yanga wenzangu.
Wachezaji naopendekeza wasajiliwe ni hawa.
1.Aggrey Morris; Yanga kwa sasa ina kosa kiongozi, Morris ni kiongozi tangu kuzaliwa ikizingatiwa makosa anayofanya Mwamnyeto Aggrey atafaa.
2. Benjamini Asukile; Huyu ni mpambanaji haswa ni aina ya wachezaji unao kutana nao ligi ya mabingwa. Si ajabu kukuta team imejaza kina Asukile hata tisa, tunahitaji wachezaji wa hivi.
3.Paul Nonga; Huyu atasaidiana na Mayele, sihitaji kumuelezea kila mtu anafahamu ubora wake, hasa siku aliyowakomesha makolo wote tuliona.
4.Mpoki mwakinyuki: ni kiraka kweli kweli, kwa sasa Yanga kiraka wa kweli ni Bangala, tunahitaji kiraka anayeweza kushambulia. Mpokiij ndio chaguo langu.
Una maoni gani mwana yanga mwenzangu Kuelekea klabu Bingwa kama Mungu akijaalia tuingie makundi?
Najua viongozi wangu wa Yanga ni wasikivu sio Chupli chupli kama wale wa makolo, mtaliangalia na Hili.
Nyie makolo mnaionea wivu yanga yetu....Unapokuwa wakala wa wachezaji jitahidi kuwapamba wachezaji wako kwa kutoa maelezo ya kushawishi, sio kila mtu anapigwa kiboya boya
Usichanganyikiwe na Ushindi ligi ya mabingwa ni ngumu kweli kweli.Hakuna mchezaji hata mmoha kuchezea yanga hapo