Usajili Mpya Simba SC: Umakini na utulivu wa kiwango cha juu sana unahitajika

Hahahaha, usajiri Wa mwaka Jana nao ulianza hivi hivi ,mwisho Wa siku wakaletwa akina Wilker da Silva

Ila hope this time fungu lipo ila kumbukeni sheria ya matumizi ya fedha ktk usajiri msizidi bajeti km Man city
 
Yaani tusajili 5 alafu tusipigwe?

Yaan hata uwe na pesa ukienda kununua jeans 5 kwa mpigo,, kati ya 5 ni mbili tu ndio utapenda kuzivaa ila zilizobaki mara moja moja,

Hao watano ni wawaili tu ndio wataanza,

Hawataweza kupenya ktk first 11 tupo hapa, wachezaji wenyewe tunachuka waliochuja au makapi.

Yule Mzambia sijui Bwalya kwa nn tulimkosa? Si ufinyu wa pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lusajo hapana labda BLEIS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimuhitaji baada ya kumkosa wakawaambieni msiwe na wasiwasi kwanza Bwalya ni nani? Tuna wachezaji kibao wanaoshabihiana na huyo mchezaji. Sasa sijui ni kina nani hao ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…