Usajili Mpya Simba SC: Umakini na utulivu wa kiwango cha juu sana unahitajika

Huna hela ya kumnunua yule mkoba Wa Zesco. Kwa ujanja ujanja ulionao huo, thubutuuuu!
 
Footbal mchezo wa matokeo ni ujinga kwa simba kumpa mkataba morrison wakati wamejaza wachezaji wanaomzidi magoli na assist na experience ya kimataifa
Tshishimbi kawazidi nini wachezaji waliopo Simba Mbona inasemakana Simba inamuhitaji? Hata huyo Morrison zilitoka taarifa kuwa Simba wanamuhitaji kwa udi na uvumba lakini wakamkosa. Sasa unaposhangaa hilo la usajili kwa klabu za Simba na Yanga basi ni wazi kuwa wewe ni mgeni na hizi timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usajili wa msimu uliopita,Simba hawakubolonga kwa bahati mbaya,ilikuwa ni mipango mkakati wa MAKUPE,kupiga faranga,ndiyo maana mkaletewa wa Latino Amerika watatu, na mkasajili zaidi ya wachezaji kumi,wakati mahitaji hakuwa kusajili lundo la wachezaji.Watu tunataka 10% za wachezaji wapya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema mkuu,Simba lazima Kama inahitaji mshambuliaji hatari,lazima wakubali kutoboka mfuko(kuvunja bank)vinginevyo kusubiri waliomaliza mikataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hela ya kumnunua yule mkoba Wa Zesco. Kwa ujanja ujanja ulionao huo, thubutuuuu!
Nashukuru sana kunikumbusha huyo mkoba mwenye rasta mnyama fulani mtulivu hivi anatumia nguvu panapostahili na akili panapostahili beki wa kati wa Zesco. Ila sio mimi ninayetaka kumnunua bali tu nilikuwa nawakumbusha viongozi wa Simba wanaosema kila siku wanataka timu yao iwe sawa na TP Mazembe, Alhaly, Mamelodi n.k. basi wavunje benki walete wachezaji wa aina hiyo sio kila siku kugombea na mtani wake Yanga wakina Tshishimbi, Niyonzima, Ajibu, Gadiel na Morisson.
 
So you are suggesting a squad overhaul right ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa jinsi mlivyo wajanja wajanja na msimu huu mtatafuta kichaka tu cha kuondoka na percent zenu,akina Mwina tena![emoji2]
 
So you are suggesting a squad overhaul right ?
Big no. Rudia tena kusoma na uelewe nilichoandika. Simba kwa sasa ipo vizuri ila inahitaji wachezaji sita tu wapya:-
1. Beki wa kulia wa kumsaidia Kapombe huyu atoke hapa hapa bongo. Na wapo wengi sana kwenye ligi yetu
2. Mabeki wawili wa kati mmoja wa kibongo mwingine wa kimataifa.
3 Kiungo mkabaji mmoja wa kusaidiana na Mkude na Muzamiru. Huyu awe wa kimataifa na awe na kipaji cha kupokonya mipira kwa adui
4. Washambuliaji asili wawili wakusaidiana na Boko na Kagere. Mmoja awe kibongo na mmoja awe wa kimataifa na ni lazima wote wawe vijana lakini "goal machine" kuwazidi Kagere na Boko.
 
Huu ndio mshahara wa shonga,mikia mtaweza kweli kumlipa mshahara huo,hapo bado sign fee!mikia muda mwingine uwa mnajitoa akili!
 

Attachments

  • Screenshot_20200326-183931_Chrome.jpg
    48.4 KB · Views: 1

Tungekuwaga na uwezo Wa kuvunja mikataba ya wachezaji kama hawa tungekuwa tunafanya vizuri sana ktk michuano ya vilabu Afrika. Ila sisi 98% ya sajili zetu huwa tunavizia wale rejects au walio free. Huyu beki ni mzuri sana na ana vitu vingi sana. Kuna kipindi nlikuwa naangalia kidogo ligi ya Zambia, anuwezo Wa kufunga semi pieces balls, lakini pia ni moja ya wapiga faulo Wa Zesco United. Na ni Mdogo tu mana ana miaka 21 tu
 

Attachments

  • Screenshot_20200326-194006.jpg
    27.5 KB · Views: 1
Huyo shonga ni majerui? Mbona ktk 3 za ufunguja hayupo pale Orlando?

[emoji116]

View attachment 1398396

Sent using Jamii Forums mobile app

Isijekuwa tunapigwa tena[emoji16][emoji23]
Mkuu huyo shonga bonge la mchezaji si wakuhadithiwa bali kwa kumuona mwenyewe uwanjani, ila tatizo hizi timu za soweto pirates/chiefs zina mambo ya kihome boy sana.. ila simba wakifanikiwa kweli kumpata shonga basi itakuwa bonge la usajili.
 
Huu ndio mshahara wa shonga,mikia mtaweza kweli kumlipa mshahara huo,hapo bado sign fee!mikia muda mwingine uwa mnajitoa akili!
Hakuna mshahara Kama huo kwa timu za Africa, dola laki sita yaani shilling billion moja na million mia tatu, labda kwa mwaka na sio kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…