Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

Yanga ya sasa timu yake bado haijafikia kiwango kile cha ile iliyofika fainali ya shirikisho...

Wanapoteza sana mipira, hawajatulia, hawapatani kifikra...

Itawachukua walau game 10 kuweza kuwa sawa kama timu, ngoja tuone...
 
Jamaa czan hata hao wachezaji anaowapamba wameperform km alivyoandika kaandika kiushabiki mnoo....kwenye comment section wamemponda sana huyu jamaa😂na baadhi ya wachezaji wengine
Watu hawajui mpira
Ukuta wa Yanga wote haukuwepo Kwa kifu Conte hakuwa comfortable sana.
Alirudi kumsaidia ulinzi
 
Hahhha kwa mpira wa jana huyo conte mmepigwa
 
Usajili ni mzuri. Naamini safari hii timu itafika mbali kwenye mashindano ya Kimataifa, na pia itaendeleza ubabe wake kwenye mashindano ya ndani.
 
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football
Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana

Leo tazama wachezaji maingizo mapya

1. Mohamed Doumbia
Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki

2. Andy Boyeli
Striker tembo, huyu jamaa anaujua mpira ni striker force, anapigia miguu yote, anaruka
Mimi nabii, Andy Boyeli ndo top scorer msimu ujao

3.Ecua
Huyu alikuja kuziba nafasi ya Musonda.

Ni mchezaji mzuri mno. Akipata. Utulivu na kucheza kitimu ni Mali sana

4. Lassine Kouma
Huyu dogo miaka 21 ana balaa, hapendelei mpira wa kasi, anapiga basi za kuvuka wapinzani
Ni bonge la mchezaji

5 Offen Chikola
Huyu anakuja kuanza first 11. Ni mchezaji mzuri mno

6. Balla Conte

Hili ni balaa, jamaa anakaba hadi kivuli, anaingia uvunguni Mali anachukua.
Sijui ana mapafu Gani aisee, jamaa hachoki

7.Edmund John
Ana pressure ila Bado kijana mdogo, anafundishika atakuwa imara zaidi

8. Mohamed Hussein
Huyu siongei sana, akichecheza upande mmoja na Pacome Kuna timu itahamia Sudan Kusini

Hii Yanga ya Doumbia na Kouma Kuna timu zitabaki huko Egypt zikiogelea kama mabata, haya

Ngao ya jamii hiyo Yanga watoe kipigo cha 6 mfululizo
Sasa huyo 1. Doumbia kafanya nini cha maana?! Hawezi kuchezesha timu yani yupo yupo tu. Ngoja apewe muda tuone.
Huyo 3. Ecua ni kama Willy Esomba Onana. Anao anao sana halafu too selfish. Labda na yeye apewe muda.
 
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football
Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana

Leo tazama wachezaji maingizo mapya

1. Mohamed Doumbia
Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki

2. Andy Boyeli
Striker tembo, huyu jamaa anaujua mpira ni striker force, anapigia miguu yote, anaruka
Mimi nabii, Andy Boyeli ndo top scorer msimu ujao

3.Ecua
Huyu alikuja kuziba nafasi ya Musonda.

Ni mchezaji mzuri mno. Akipata. Utulivu na kucheza kitimu ni Mali sana

4. Lassine Kouma
Huyu dogo miaka 21 ana balaa, hapendelei mpira wa kasi, anapiga basi za kuvuka wapinzani
Ni bonge la mchezaji

5 Offen Chikola
Huyu anakuja kuanza first 11. Ni mchezaji mzuri mno

6. Balla Conte

Hili ni balaa, jamaa anakaba hadi kivuli, anaingia uvunguni Mali anachukua.
Sijui ana mapafu Gani aisee, jamaa hachoki

7.Edmund John
Ana pressure ila Bado kijana mdogo, anafundishika atakuwa imara zaidi

8. Mohamed Hussein
Huyu siongei sana, akichecheza upande mmoja na Pacome Kuna timu itahamia Sudan Kusini

Hii Yanga ya Doumbia na Kouma Kuna timu zitabaki huko Egypt zikiogelea kama mabata, haya

Ngao ya jamii hiyo Yanga watoe kipigo cha 6 mfululizo
Matambo yote ni kuifunga Simba, kuchukua kombe ligi kuu, na kubeba kombe la mapinduzi.
Ukitaka kuiona Yanga ni timu mbovu, subiri kwenye CAF Champion League uione😀😀😀😀😀😀
 
Kila mashindano makombe yote tunabeba
Timu imeanzishwa 1936 lakini miaka yote mpaka sasa 2025 lakini malengo yake ni
1. Kuchukua kombe la ligi kuu
2. Kuifunga Simba😀😀😀
3. Kuchukua Ngao
4. Kufika makundi ya CAF champion League😀😀😀
Timu changa duniani hujivunia medali wakati kwenye mpira hakuna ushindi wa medali😀😀😀😀
Muwe mnaona aibu wanayanga, huu ni muda wa kuitangaza timu yenu Afrika na dunia kwa ujumla.
Simba ikiwa ya 5 nyie mnatakiwa muwe wa 1 au 2 kwenye timu bora Afrika.
Leo hii timu ambayo haijachukua kombe lolote misimu 4 ndiyo timu bora Afrika inayoshika nafasi ya 5 huku timu iliyochukua makombe misimu 4 inashika nafasi ya 13😁😁😁
Hapo ndiyo utajua Yanga ni timu bora kwa kuifunga JKT😀😀😀
 
Subiri kipigo cha 6 mfululizo
 
Umeongea vyoma ila paragraph ya mwisho ungeiweka hivi

Hapo ndiyo utajua Yanga ni timu bora kwa kuifunga Simba 😅😅😅
 
Back
Top Bottom