Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Hivi pre season ya yanga tayari je wachezaji hawakuenda timu ya Taifa?Yanga ya sasa timu yake bado haijafikia kiwango kile cha ile iliyofika fainali ya shirikisho...
Wanapoteza sana mipira, hawajatulia, hawapatani kifikra...
Itawachukua walau game 10 kuweza kuwa sawa kama timu, ngoja tuone...