Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

Yanga ya sasa timu yake bado haijafikia kiwango kile cha ile iliyofika fainali ya shirikisho...

Wanapoteza sana mipira, hawajatulia, hawapatani kifikra...

Itawachukua walau game 10 kuweza kuwa sawa kama timu, ngoja tuone...
 
Jamaa czan hata hao wachezaji anaowapamba wameperform km alivyoandika kaandika kiushabiki mnoo....kwenye comment section wamemponda sana huyu jamaaπŸ˜‚na baadhi ya wachezaji wengine
Watu hawajui mpira
Ukuta wa Yanga wote haukuwepo Kwa kifu Conte hakuwa comfortable sana.
Alirudi kumsaidia ulinzi
 
Hahhha kwa mpira wa jana huyo conte mmepigwa
 
Usajili ni mzuri. Naamini safari hii timu itafika mbali kwenye mashindano ya Kimataifa, na pia itaendeleza ubabe wake kwenye mashindano ya ndani.
 
Sasa huyo 1. Doumbia kafanya nini cha maana?! Hawezi kuchezesha timu yani yupo yupo tu. Ngoja apewe muda tuone.
Huyo 3. Ecua ni kama Willy Esomba Onana. Anao anao sana halafu too selfish. Labda na yeye apewe muda.
 
Matambo yote ni kuifunga Simba, kuchukua kombe ligi kuu, na kubeba kombe la mapinduzi.
Ukitaka kuiona Yanga ni timu mbovu, subiri kwenye CAF Champion League uioneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kila mashindano makombe yote tunabeba
Timu imeanzishwa 1936 lakini miaka yote mpaka sasa 2025 lakini malengo yake ni
1. Kuchukua kombe la ligi kuu
2. Kuifunga SimbaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
3. Kuchukua Ngao
4. Kufika makundi ya CAF champion LeagueπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Timu changa duniani hujivunia medali wakati kwenye mpira hakuna ushindi wa medaliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Muwe mnaona aibu wanayanga, huu ni muda wa kuitangaza timu yenu Afrika na dunia kwa ujumla.
Simba ikiwa ya 5 nyie mnatakiwa muwe wa 1 au 2 kwenye timu bora Afrika.
Leo hii timu ambayo haijachukua kombe lolote misimu 4 ndiyo timu bora Afrika inayoshika nafasi ya 5 huku timu iliyochukua makombe misimu 4 inashika nafasi ya 13😁😁😁
Hapo ndiyo utajua Yanga ni timu bora kwa kuifunga JKTπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Subiri kipigo cha 6 mfululizo
 
Umeongea vyoma ila paragraph ya mwisho ungeiweka hivi

Hapo ndiyo utajua Yanga ni timu bora kwa kuifunga Simba πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…