Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

Yanga ya sasa timu yake bado haijafikia kiwango kile cha ile iliyofika fainali ya shirikisho...

Wanapoteza sana mipira, hawajatulia, hawapatani kifikra...

Itawachukua walau game 10 kuweza kuwa sawa kama timu, ngoja tuone...
Hivi pre season ya yanga tayari je wachezaji hawakuenda timu ya Taifa?
 
Pre season si ndio inaendelea mkuu?

Mzize, Muda, Job, Bacca ndio najua wapo Stars (niliosahau wataongezwa) pamoja na usajili mpya wa Mohamed Hussein...
Mzize wana mtandao wanasema kauzwa
Pia kuna pongezi toka CAF kwa usajili bora

Wachambuzi wa mpira wanasema yanga wamesajili washambuliaji lengo ni kupunguza kushambuliwa
Tuone kama uchambuzi utakuwa ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…