Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani?

Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao?

1. Medie kagere
2. Mugalu
3. Bwalya
4. Chama
5. Miquesone
6. Morrison
7. Tadeo Lwanga
8. Fraga veira
9. Wawa
10. Onyango
11. Chikwende
Je, ungependa nani aondoke kati yao?

Wazawa waliopo hatarini
1. Ally Salim
2. Ajib
3. Miraji
4. Gardiel
5. Mkude
6. Ndemla
7. Duchu
8. Kakolanya
9. Rashid juma

Nani aondoke nani aje
 
Mimi naona wote wangebaki tu! Siyo ndiyo kikosi kipana chenyewe hiki!! Sasa mnataka kukifyeka tena!!!
 
Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani?

Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao?

1. Medie kagere
2. Mugalu
3. Bwalya
4. Chama
5. Miquesone
6. Morrison
7. Tadeo Lwanga
8. Fraga veira
9. Wawa
10. Onyango
11. Chikwende
Je, ungependa nani aondoke kati yao?

Wazawa waliopo hatarini
1. Ally Salim
2. Ajib
3. Miraji
4. Gardiel
5. Mkude
6. Ndemla
7. Duchu
8. Kakolanya
9. Rashid juma

Nani aondoke nani aje

Kwanini umemuweka FRAGA hapo ?
 
Aisee mpira mchezo hatari jama..
Ni juzi juzi tu hapa kagere alikua anapewa majina kama yote terminator, mk14, goal machine leo hii anapigiwa chapuo asepe. Yaani kila anaetoa maoni ya wa kutoka kagere ndani 😂😂.
Wachezaji waringe tu wana mda mfupi wa kujidai.
 
Ameisha kweri kweri
 
Mleta uzi kwanza rekebisha listi yako ya wachezaji wa kigeni kwa kumuondoa Fraga hapo. Huyo alishamalizana na Simba kwa makubaliano kuwa aende kwao kujitibu goti na kama mambo yataenda vizuri watakaa mezani upya kwani waliachana kwa upendo mkubwa sana. Kwa hiyo mpaka sasa wachezaji wa kigeni waliopo Simba ni 10 tu na si vinginevyo.

Kwa mtizamo wangu ningekuwa nimepewa nafasi ya kuishauri Simba kwenye usajili wa wachezaji wa kigeni ningemuondoa Chikwende na Kagere. Nafasi ya Chikwende ningempa Moses Bwalya na ya Kagere achukue Walter Bwalya kama Simba watakuwa na mpunga wa kuwalipa Al Haly. Ikishindikana basi wamtafute mwamba mmoja anaitwa Idris Mbombo ila pia wajiandae kulipa pesa ndefu. Kwa mabeki wa kati wamuondoe Wawa kwa masharti tu iwapo watapata beki zaidi yake.

Kwa wachezaji wa ndani ningeshauri Cleophas Mukandala achukue nafasi ya Ajibu na ya Mkude ijazwe na kiungo mmoja hivi (jina nimemsahau) yupo Kagera Sugar. Kwa mabeki wa pembeni baada ya kumkosa Manyama (kwa uzembe tu kwani wangeweza msainisha tangu mwezi mei) ningeshauri tu Gadiel Michael ampishe David Luhende.
 
Back
Top Bottom