Unatania au unamaanisha?Miquissone asepe, tuvunje mkataba nafasi yake akae TK master kisindaaa
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Miq ana assist ngapi?
Kisinda ana impact gani kubwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatania au unamaanisha?Miquissone asepe, tuvunje mkataba nafasi yake akae TK master kisindaaa
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Nilisikia konde anaondoka kwenda ahalyunaumwa wewe
Ibrahim Ame yupo, Kennedy JumaWawa unamleta nani? Experience yake bado inahitajika...
Striker atafutwe ambaye ana skills zaidi na kuliona goal kama DubeHii naona wengi mnamponda MK14 ila pengo la kagere ni kubwa sana.Kocha ameweka matumaini kwa Mugalu lakini Mugalu amna kitu pale TUMEPIGWA ni mzuri wa muonekano ila uwanjani amna kitu makosa ni mengi kayafanya icpokua cc bidadam tunasahau na ivyo magoli yake mawili ya juzi Na KMC yamefanya tusahau makosa mengi aliyoyafanya nyuma ata kwa idadi ya magoli japo kagere kwasasa hapewi nafasi kama mugalu lakini wanatofautiana goli 1 tu 12 kwa 11
My take ni kwamba kagere/kifaru apewe nafasi kuna ile combination ya Bocco na kagere aisee msimu 2019/2020 walikiwasha sana[emoji91]
Namba zake zinakuumbua, kacheza mechi 16 goli 12 na assist 2, makocha hawampendelei anajua.Hii naona wengi mnamponda MK14 ila pengo la kagere ni kubwa sana.Kocha ameweka matumaini kwa Mugalu lakini Mugalu amna kitu pale TUMEPIGWA ni mzuri wa muonekano ila uwanjani amna kitu makosa ni mengi kayafanya icpokua cc bidadam tunasahau na ivyo magoli yake mawili ya juzi Na KMC yamefanya tusahau makosa mengi aliyoyafanya nyuma ata kwa idadi ya magoli japo kagere kwasasa hapewi nafasi kama mugalu lakini wanatofautiana goli 1 tu 12 kwa 11
My take ni kwamba kagere/kifaru apewe nafasi kuna ile combination ya Bocco na kagere aisee msimu 2019/2020 walikiwasha sana[emoji91]
Haha just joking mkuuUnatania au unamaanisha?
Miq ana assist ngapi?
Kisinda ana impact gani kubwa??
Hawa ndio unaenda nao caf? Ebu kua serious...
Mkuu kwanini umependekeza Morisson aachwe ?Nani aondoke Simba na nani Abaki.
1. Kwenye goalkeeping hatuna sababu ya kumuondoa golikipa yoyote kwa sababu wote wanaonekana kufanya vizuri sana ukilinganisha na magolikipa waliopo ligi kuu.
2. Kwenye fullbacks sioni kama kuna hitaji la kufanya mabadiliko upande wa kulia kwani Kapombe na Duchu viwango vyao bado viko vizuri hasa ukizingatia Duchu bado ana muda mrefu zaidi wa kuwepo kikosini ndiyo kwanza ana 20 years.
Upande wa kushoto Gadiel Michael must go ameshindwa kumpa ushindi Mohamed Hussein na anapopewa nafasi hana maajabu yoyote lakini ndani ya Ligi tena sioni beki mzuri wa kufanya replacement ya Gadiel baada ya Manyama kwenda Azam.
Kwenye Central Defence tunawachezaji wazawa watatu na wa kigeni wawili kwangu mimi nafikri tunapaswa kujiandaa na maisha yetu bila Wawa na pendekezo langu ni
1. Adrian Chama wa Zesco
2. Mohamed Quattara wa Al Hilal Omdurman
3. Captain Salomon Emilie Bindjeme Banga wa Cotton Sports ya Cameroon.
Wazawa tuendelee kuwa nao kwani Kennedy anafanya vizuri back up plan Ibrahim yuko vizuri pia Nyoni muda unaelekea ukingoni hivyo hata akipewa contract kwajili ya kuretain uzoefu kikosini sioni shida.
Kwenye Midfield hapa ndiyo tunapaswa kufanya mabadiliko kadhaa.
Tuachane na Said Ndemla, tumsajili Cleophace Mukandala, tunapaswa kuandaa backbone mpya ya Defence midfield yetu ya muda mrefu hatuwezi kumtegemea Lwanga au Nyoni kwa muda mrefu kwani hawa umri umeenda na Lwanga ni mchezaji wa kigeni muda wowote anaondoka tunapaswa kumsajili Kelvin Nahashoni Naftal wa JKT Tanzania kama maandalizi ya backbone yetu huyo mtoto ana potential ya kufika mbali akipata good coaching na kuwa kwenye kikosi Chenye motisha kama Simba huyu ndiyo anafaa kuwa perfect replacement ya kesho kwa Mkude.
Lakini pia wachezaji wetu wengi kwenye midfield ukiondoa Bwalya ni defensive Midfielders tutafute namba nane mzuri atakayekuwa ana uwezo mzuri wa kukaba na kupandisha timu ili Bwalya anapofeli plan B iwepo na huyo kwangu namuona Morlaye Sylla wa Horoya ya Guinea anamaliza mkataba wake msimu huu na ana miaka 21 tu.
Kwenye Safu ya ushambuliaji tuachane na Kagere, Morisson, na probably Chikwende. mbadala wa Kagere tutafute Mshambuliaji anayeweza kucheza kama wing type ya Okwi ili tuwe tunaswitch formation uwanjani kutokana na mahitaji ya mechi.
Kuna wachezaji wazawa ambao kuwaacha haina shida mojawapo ni Miraji Adam.
Pamoja na ubora wake kashindwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza kama regular starter kikosini.Mkuu kwanini umependekeza Morisson aachwe ?
Wawa afyekwe???? We kweli kifo cha bonge kimekuchanganya.Wawa Yuko very much overated, afyekwe
Mechi nyingi alizoingia morrison kama sub kawa na impact kubwa...Pamoja na ubora wake kashindwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza kama regular starter kikosini.
Pili tutafute mchezaji ambaye ni wide striker ili tuweze kubadili formation uwanjani tunapohitaji. Kwa mfano sasa hivi tukitaka kucheza 3 4 3 au 4 3 3 ni ngumu kwa sababu front three wetu wote ni typical strikers yaani goal poachers. Ukipata wide striker kama Okwi uweke
Mugalu Bocco na huyo mwingine hakuna timu itapona
referMechi nyingi alizoingia morrison kama sub kawa na impact kubwa...
Yes lakini huwezi kuwa na mchezaji wa kigeni anayelipwa mshahara mkubwa namna hiyo halafu awe subMechi nyingi alizoingia morrison kama sub kawa na impact kubwa...
ata kuwa anamzungumzia nasoro kapama maana ndo namba sita ya kageraLuhende ni mzee Sana
Kiungo wa kagera unayemsema ni ufuduu?
Tusimchukulie powa Chikwende. Anakitu hatujakiona labda. Jamaa ni tegeo la timu yao ya Taifa. Ni vipi unamuacha mtu Kama huyo! Hafanani na Chilwa Wala Ngoma. Anaitaji kupewa muda zaidi ili atupe tutakacho.Mleta uzi kwanza rekebisha listi yako ya wachezaji wa kigeni kwa kumuondoa Fraga hapo. Huyo alishamalizana na Simba kwa makubaliano kuwa aende kwao kujitibu goti na kama mambo yataenda vizuri watakaa mezani upya kwani waliachana kwa upendo mkubwa sana. Kwa hiyo mpaka sasa wachezaji wa kigeni waliopo Simba ni 10 tu na si vinginevyo.
Kwa mtizamo wangu ningekuwa nimepewa nafasi ya kuishauri Simba kwenye usajili wa wachezaji wa kigeni ningemuondoa Chikwende na Kagere. Nafasi ya Chikwende ningempa Moses Bwalya na ya Kagere achukue Walter Bwalya kama Simba watakuwa na mpunga wa kuwalipa Al Haly. Ikishindikana basi wamtafute mwamba mmoja anaitwa Idris Mbombo ila pia wajiandae kulipa pesa ndefu. Kwa mabeki wa kati wamuondoe Wawa kwa masharti tu iwapo watapata beki zaidi yake.
Kwa wachezaji wa ndani ningeshauri Cleophas Mukandala achukue nafasi ya Ajibu na ya Mkude ijazwe na kiungo mmoja hivi (jina nimemsahau) yupo Kagera Sugar. Kwa mabeki wa pembeni baada ya kumkosa Manyama (kwa uzembe tu kwani wangeweza msainisha tangu mwezi mei) ningeshauri tu Gadiel Michael ampishe David Luhende.
[emoji16]uko zero kichwaniHii naona wengi mnamponda MK14 ila pengo la kagere ni kubwa sana.Kocha ameweka matumaini kwa Mugalu lakini Mugalu amna kitu pale TUMEPIGWA ni mzuri wa muonekano ila uwanjani amna kitu makosa ni mengi kayafanya icpokua cc bidadam tunasahau na ivyo magoli yake mawili ya juzi Na KMC yamefanya tusahau makosa mengi aliyoyafanya nyuma ata kwa idadi ya magoli japo kagere kwasasa hapewi nafasi kama mugalu lakini wanatofautiana goli 1 tu 12 kwa 11
My take ni kwamba kagere/kifaru apewe nafasi kuna ile combination ya Bocco na kagere aisee msimu 2019/2020 walikiwasha sana[emoji91]
Kaseke ni kipaji?Yanga tunakuza vipaji nchini kwetuView attachment 1848309
Wawa hakuna mchezaji apo broWawa afyekwe???? We kweli kifo cha bonge kimekuchanganya.