Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
David Luhende huyu anamalizia career yake?Mleta uzi kwanza rekebisha listi yako ya wachezaji wa kigeni kwa kumuondoa Fraga hapo. Huyo alishamalizana na Simba kwa makubaliano kuwa aende kwao kujitibu goti na kama mambo yataenda vizuri watakaa mezani upya kwani waliachana kwa upendo mkubwa sana. Kwa hiyo mpaka sasa wachezaji wa kigeni waliopo Simba ni 10 tu na si vinginevyo.
Kwa mtizamo wangu ningekuwa nimepewa nafasi ya kuishauri Simba kwenye usajili wa wachezaji wa kigeni ningemuondoa Chikwende na Kagere. Nafasi ya Chikwende ningempa Moses Bwalya na ya Kagere achukue Walter Bwalya kama Simba watakuwa na mpunga wa kuwalipa Al Haly. Ikishindikana basi wamtafute mwamba mmoja anaitwa Idris Mbombo ila pia wajiandae kulipa pesa ndefu. Kwa mabeki wa kati wamuondoe Wawa kwa masharti tu iwapo watapata beki zaidi yake.
Kwa wachezaji wa ndani ningeshauri Cleophas Mukandala achukue nafasi ya Ajibu na ya Mkude ijazwe na kiungo mmoja hivi (jina nimemsahau) yupo Kagera Sugar. Kwa mabeki wa pembeni baada ya kumkosa Manyama (kwa uzembe tu kwani wangeweza msainisha tangu mwezi mei) ningeshauri tu Gadiel Michael ampishe David Luhende.
Una undugu naeNdemla abaki.
Kwa upande wangu naona Luhende ndiye beki pekee wa pembeni kwenye ligi yetu ukimuacha Manyama ambaye anaweza kumpa changamoto Mohamed Husein. Isitoshe Simba wanaweza kumpa mkataba mfupi wa mwaka mmoja wakati wanaendele kutafuta mtu wa kusaidiana na Mohamed Hussein. Vinginevyo wamsamjili beki wa kati wa Biashara United Mangalo halafu wambadilishe acheze mbavu zote mbili kushoto na kulia kusaidiana na Mohamed Husein na Kapombe.David Luhende huyu anamalizia career yake?
Nani aondoke Simba na nani Abaki.Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani?
Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao?
1. Medie kagere
2. Mugalu
3. Bwalya
4. Chama
5. Miquesone
6. Morrison
7. Tadeo Lwanga
8. Fraga veira
9. Wawa
10. Onyango
11. Chikwende
Je, ungependa nani aondoke kati yao?
Wazawa waliopo hatarini
1. Ally Salim
2. Ajib
3. Miraji
4. Gardiel
5. Mkude
6. Ndemla
7. Duchu
8. Kakolanya
9. Rashid juma
Nani aondoke nani aje
Unataka tusambaratishe kikosi kizima ?Dickson ambundo ni bora kuliko Miraji na Ajibu both combined
Juma nyangi mpambanaji anauwezo kuzidi mzamiru . Na ndemla kwa pamoja
Deogratus judika Backup ya chama ni bora kuliko Dilunga.
Islael patrick mwenda atakuja kucheza kapombe hana mda mrefu Duchu ni midiocore player
Striker wauze kagere na Mugaru waaangalie mshambuliaji mzuri sio kwa mwonekano kwa uchwzaji
Mangalo ni beki mzuri sana lakini kwenye eneo lake tayari tunawazawa ambao wako vizuri.Kwa upande wangu naona Luhende ndiye beki pekee wa pembeni kwenye ligi yetu ukimuacha Manyama ambaye anaweza kumpa changamoto Mohamed Husein. Isitoshe Simba wanaweza kumpa mkataba mfupi wa mwaka mmoja wakati wanaendele kutafuta mtu wa kusaidiana na Mohamed Hussein. Vinginevyo wamsamjili beki wa kati wa Biashara United Mangalo halafu wambadilishe acheze mbavu zote mbili kushoto na kulia kusaidiana na Mohamed Husein na Kapombe.
Wana jamgwani bhanaWawa Yuko very much overated, afyekwe
Ndemla na miraji juzi juzi tu kocha kawasifia, hawa hawaondoki...shughuli ipobkwa wanaobaki ukitoa duchu na kakolanya...kakolanya alisaini extension nafikiri hivyo unabaki mwaka mmoja. Duchu ni yosso hatuachi yosso kama duchu..Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani?
Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao?
1. Medie kagere
2. Mugalu
3. Bwalya
4. Chama
5. Miquesone
6. Morrison
7. Tadeo Lwanga
8. Fraga veira
9. Wawa
10. Onyango
11. Chikwende
Je, ungependa nani aondoke kati yao?
Wazawa waliopo hatarini
1. Ally Salim
2. Ajib
3. Miraji
4. Gardiel
5. Mkude
6. Ndemla
7. Duchu
8. Kakolanya
9. Rashid juma
Nani aondoke nani aje
Wawa unamleta nani? Experience yake bado inahitajika...
Siyo kukifyeka bali ni kukiboreshaMimi naona wote wangebaki tu! Siyo ndiyo kikosi kipana chenyewe hiki!! Sasa mnataka kukifyeka tena!!!
Kataa ukubali Mangalo anaweza cheza mbavu zote ya kulia na kushoto bila wasiwasi. Sio vizuri kwa timu kubwa kama Simba ambayo itashiriki mashindano mengi yakiwapo ya kimataifa kwa msimu wote ujao icheze bila kuwa na "back up" ya Kapombe na Mohamed Huseein kwani kuna kadi na majeruhi na Duchu kwanza anaanza "kuclick". Simba washukuru Mungu tu mwaka huu kuwa Kapombe na Mohamed Husein hawakuwa na adhabu wala majeraha ya muda mrefu vinginevyo ingekuwa aibu.Mangalo ni beki mzuri sana lakini kwenye eneo lake tayari tunawazawa ambao wako vizuri.
Upande wa kushoto katika ligi hakuna beki aliyefanya vizuri sana zaidi ya Manyama hivyo ni bora tuendelee kubuy time kutafuta mchezaji sahihi.
Duchu alifanya vizuri sana mechi za Simba Super Cup anahitaji uzoefu tu ila ni beki mzuri sana.Kataa ukubali Mangalo anaweza cheza mbavu zote ya kulia na kushoto bila wasiwasi. Sio vizuri kwa timu kubwa kama Simba ambayo itashiriki mashindano mengi yakiwapo ya kimataifa kwa msimu wote ujao icheze bila kuwa na "back up" ya Kapombe na Mohamed Huseein kwani kuna kadi na majeruhi na Duchu kwanza anaanza "kuclick". Simba washukuru Mungu tu mwaka huu kuwa Kapombe na Mohamed Husein hawakuwa na adhabu wala majeraha ya muda mrefu vinginevyo ingekuwa aibu.
unaumwa weweMiquissone asepe, tuvunje mkataba nafasi yake akae TK master kisindaaa
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Luhende ni mzee SanaMleta uzi kwanza rekebisha listi yako ya wachezaji wa kigeni kwa kumuondoa Fraga hapo. Huyo alishamalizana na Simba kwa makubaliano kuwa aende kwao kujitibu goti na kama mambo yataenda vizuri watakaa mezani upya kwani waliachana kwa upendo mkubwa sana. Kwa hiyo mpaka sasa wachezaji wa kigeni waliopo Simba ni 10 tu na si vinginevyo.
Kwa mtizamo wangu ningekuwa nimepewa nafasi ya kuishauri Simba kwenye usajili wa wachezaji wa kigeni ningemuondoa Chikwende na Kagere. Nafasi ya Chikwende ningempa Moses Bwalya na ya Kagere achukue Walter Bwalya kama Simba watakuwa na mpunga wa kuwalipa Al Haly. Ikishindikana basi wamtafute mwamba mmoja anaitwa Idris Mbombo ila pia wajiandae kulipa pesa ndefu. Kwa mabeki wa kati wamuondoe Wawa kwa masharti tu iwapo watapata beki zaidi yake.
Kwa wachezaji wa ndani ningeshauri Cleophas Mukandala achukue nafasi ya Ajibu na ya Mkude ijazwe na kiungo mmoja hivi (jina nimemsahau) yupo Kagera Sugar. Kwa mabeki wa pembeni baada ya kumkosa Manyama (kwa uzembe tu kwani wangeweza msainisha tangu mwezi mei) ningeshauri tu Gadiel Michael ampishe David Luhende.