mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Duh! vipi fraga na Lwanga nani aondoke?Wawa Yuko very much overated, afyekwe
kuna wachezaji wa kigeni inabidi wasajiliweMimi naona wote wangebaki tu! Siyo ndiyo kikosi kipana chenyewe hiki!! Sasa mnataka kukifyeka tena!!!
Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani?
Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao?
1. Medie kagere
2. Mugalu
3. Bwalya
4. Chama
5. Miquesone
6. Morrison
7. Tadeo Lwanga
8. Fraga veira
9. Wawa
10. Onyango
11. Chikwende
Je, ungependa nani aondoke kati yao?
Wazawa waliopo hatarini
1. Ally Salim
2. Ajib
3. Miraji
4. Gardiel
5. Mkude
6. Ndemla
7. Duchu
8. Kakolanya
9. Rashid juma
Nani aondoke nani aje
Duh,mkuu kosa la Wawa lipo wapi?Chikwende, Kagere, Wawa wanatosha kuondoka. Mugalu hapana abaki. Wazawa Ajib, Gadiel, Mkude,
Bado anamkataba na SimbaKwanini umemuweka FRAGA hapo ?
Ameisha kweri kweriAisee mpira mchezo hatari jama..
Ni juzi juzi tu hapa kagere alikua anapewa majina kama yote terminator, mk14, goal machine leo hii anapigiwa chapuo asepe. Yaani kila anaetoa maoni ya wa kutoka kagere ndani ππ.
Wachezaji waringe tu wana mda mfupi wa kujidai.
Sasa ivi hana makeke kabisa.Ameisha kweri kweri
hana kosa ila Simba inabidi ipate beki mtata zaidi ya Joash.Duh,mkuu kosa la Wawa lipo wapi?