Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

Striker atafutwe ambaye ana skills zaidi na kuliona goal kama Dube
Kagere makali yake yameisha!
Simba wakiwekeza vizuri kwenye usajili hela inarudi msimu ujao michuano ya CAF wakifika tena robo fainal
Wasajili watu wa kuwasaidia kimataifa zaidi back up au hata 1st choice zaida ya balala kimataifa na centre back mbadala wa wawa.
 
Namba zake zinakuumbua, kacheza mechi 16 goli 12 na assist 2, makocha hawampendelei anajua.
 
Simba wachezaji wao wengi umri tayari unawatupa mkono na wengi wana-cheat sana kwenye maswala ya umri.

Wana msimu moja tu wa kucheza competitive football na kwenye mwaka 2023 watakuwa wanacheza kama substitutes tu.
 
Mkuu kwanini umependekeza Morisson aachwe ?
 
Mkuu kwanini umependekeza Morisson aachwe ?
Pamoja na ubora wake kashindwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza kama regular starter kikosini.

Pili tutafute mchezaji ambaye ni wide striker ili tuweze kubadili formation uwanjani tunapohitaji. Kwa mfano sasa hivi tukitaka kucheza 3 4 3 au 4 3 3 ni ngumu kwa sababu front three wetu wote ni typical strikers yaani goal poachers. Ukipata wide striker kama Okwi uweke
Mugalu Bocco na huyo mwingine hakuna timu itapona
 
Mechi nyingi alizoingia morrison kama sub kawa na impact kubwa...
 
Tusimchukulie powa Chikwende. Anakitu hatujakiona labda. Jamaa ni tegeo la timu yao ya Taifa. Ni vipi unamuacha mtu Kama huyo! Hafanani na Chilwa Wala Ngoma. Anaitaji kupewa muda zaidi ili atupe tutakacho.
 
[emoji16]uko zero kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…