Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

morrissom aondoke?
 
Numero uno
 
mpira umebadilika simba wamecheza mechi chache na washambuliaji wawili
Simba wanashindwa kubadili mfumo mbele kwa sababu ukiondoa Chikwende hawana mchezaji mwingine anayeweza kucheza kama wide striker.

Ndiyo maana wanalazimika kuwaweka nje mastriker wao hatari wawili ili timu iwe na muunganiko mzuri uwanjani.

Kipindi cha Uchebe iliwezekana kabisa kucheza 4 3 3 kwa sababu tulikuwa na wide striker ( Okwi) na iliweza kuwa simba hatari sana kukutana nayo.

Kwa sasa kikosi chetu kina wingers watano
Morrison, Dilunga, Miraji, Luis, Chikwende na karibia wote wanasifa zinazofanana except Chikwende ni heri kupunguza mmoja wa kigeni na mmoja mzawa tutafute wide striker na probably Miraji ampishe Andrew Michael apandishwe kikosini
 
Yes lakini huwezi kuwa na mchezaji wa kigeni anayelipwa mshahara mkubwa namna hiyo halafu awe sub
Kwahiyo wewe hauaminì katika "kikosi kipana" ?

Unataka quality kutoka kwenye first eleven pekee, wale wa benchi midiyoka (kawaida sana) ?

Kwaiyo unataka tumuuze Morisson tummnunue mzawa yupi wa bei chee aje kukaa benchi pale ?
 
Sikusema tumuuze tununue mzawa nimesema tumuuze tutafute wide striker wa kimataifa mzuri kuliko yeye.
 
Sikusema tumuuze tununue mzawa nimesema tumuuze tutafute wide striker wa kimataifa mzuri kuliko yeye.
Ili awe anamuweka benchi nani ?
Maana umesema hauamini mgeni kukaa benchi.
 
Hujanielewa
Huyo mchezaji, wide Striker akisajiliwa, awe anamuweka nani benchi ?
Maana anayem replace (Morisson) anaanzia benchi, unayempendekeza unataka awe anaanza kwenye first eleven moja kwa moja.
Sasa kwa pale Simba amuweke nani benchi ili yeye (huyo wide striker) aanze kosi la kwanza ?
 
Tutabadili mfumo wa uchezaji kwenda 4 3 3 na kupunguza DM mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…