Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

Wana msifia mchezaji ili kupansisha "bei yake" wanaaaminisha kuwa bei yake ni 500M kisha mchezaji anapewa 120M nyingine wanakula wao WAKUWADI waliopo pale na kumbuka wengi hawana hata ajira za kuaminika!
 
Vipi uliposikia kuhusu namba 6 wa Yanga atakayetetemesha nchi, vipi uliamini pia?
 
Back
Top Bottom