Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 May 8, 2024 #21 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... Kabisa lo
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 May 9, 2024 #22 Vishu Mtata said: Ukuta wa yeriko Electric fence Click to expand... Kila match chumaaaaa
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 May 9, 2024 #23 Wana msifia mchezaji ili kupansisha "bei yake" wanaaaminisha kuwa bei yake ni 500M kisha mchezaji anapewa 120M nyingine wanakula wao WAKUWADI waliopo pale na kumbuka wengi hawana hata ajira za kuaminika!
Wana msifia mchezaji ili kupansisha "bei yake" wanaaaminisha kuwa bei yake ni 500M kisha mchezaji anapewa 120M nyingine wanakula wao WAKUWADI waliopo pale na kumbuka wengi hawana hata ajira za kuaminika!
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 May 11, 2024 #24 Vipi uliposikia kuhusu namba 6 wa Yanga atakayetetemesha nchi, vipi uliamini pia?