joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nilitizama zote ya Mtimbwa ,Azam, Tunisia nk, magoli yote yalifungwa kwa mtindo na style moja.Mechi yenu na Mtibwa uliangalia?
Ukiona lile goli lilisababishwa na uzembe wa beki?
nimekuelewa sana aisee.Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.
Yote haya chanzo Aziz Ki.
Aziz Ki pekee ndio kafunga magoli ya uzembe wa makipa ila wengine wote wamefunga kwa ubora wao?Mechi yenu na Mtibwa uliangalia?
Ukiona lile goli lilisababishwa na uzembe wa beki?
Nimeonesha hapa hafi screenshot ya Manula akifungwa magoli ya uzembe sijui una uelewa wa namna gani?Aziz Ki pekee ndio kafunga magoli ya uzembe wa makipa ila wengine wote wamefunga kwa ubora wao?
Sija ongelea Manula nasema so far amemfunga goli moja tu nmekuuliza wachezaji wengine hawafungi kwa uzembe wa makipa isipokua Aziz Ki tu?Nimeonesha hapa hafi screenshot ya Manula akifungwa magoli ya uzembe sijui una uelewa wa namna gani?
Duh!...hiyo ni hasara kwa kweli.Mshahara ni makubaliano pale Azam FC kuna jamaa anachukua 50M na yupo bench
Kwenye football ni kawaida Hazard alikua anavuta mpunga mrefu pale Madrid kuliko mchezaji yoyote na hachezi msimu mzimaDuh!...hiyo ni hasara kwa kweli.
Kwani niliposema Manula ulishindwa kuelewa kuwa mfungaji wa hilo bao alifunga kutokana na uzembe wa kipa?Sija ongelea Manula nasema so far amemfunga goli moja tu nmekuuliza wachezaji wengine hawafungi kwa uzembe wa makipa isipokua Aziz Ki tu?
Mabingwa wa afya ya uke wa mama yako mzazi?Utakuwa una matatizo binafsi.
Hiyo screenshot yako uliyoiweka kuna sehemu imesema hawezi ku improve?
Kuna sehemu yeyote iliyofunga uwezekano wa mchezaji kuweza kubadilika?
Kusoma nako shida sio?
Chukulia mfano huu
Mabingwa wa Afya wamefanya utafiti na kugundua ukiwa shabiki wa Yanga lazima uwe chizi, na usipokuwa shabiki wa Yanga hautakuwa chizi.
Sasa
Nikisema bullar ukiendelea kuwa shabiki wa Yanga utakuwa chizi, je kauli hiyo maana yake wewe utakuwa chizi miaka yote kwasababu hauta acha kushabikia Yanga ili uondokane na uchizi?
Kama utaweza kuachana na Yanga basi hapo utakuwa umeondokana na uchizi.
Kama utaendelea kuwa shabiki wa Yanga bila kuacha maana yake wewe ni chizi milele.
Ndio ilivyo kwa Azizi Ki.
Kama ataendelea na kiwango kile kile cha bahati na sibu lazima afeli, ila kama ataweza ku improve anaweza kuwa bora maradufu.
ModsMabingwa wa afya ya uke wa mama yako mzazi?
Kwahiyo hapo uliposema ukiwa shabiki wa yanga uwe chizi wewe unaona hayo sio matusi?Mods
Sasa bado hao wachezaji wabadilike wacheze km Aziz KiSema Azizi K ameleta mabadiliko.
Watu kulipwa vizuri sio hasara.
Mpira unapesa sana
ndio ndiooUbora upi wa Mayele uano uzungumzia? una ndimi mbili kama mwana CCMView attachment 2691117
Wewe unayewaita wananamme wenzio bibi na bwana huenda ndiye bibi huko juu unachungulia nini?Wewe na Genta ni bibi na bwana unakana maneno yako umesema sasa hivi! View attachment 2691137
Sikujua kama una umiaWewe unayewaita wananamme wenzio bibi na bwana huenda ndiye bibi huko juu unachungulia nini?
mpira wa aziz k si unauona?Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.
Yote haya chanzo Aziz Ki.