Huwezi kuwa self reliant wakati teknolojia huna unatumia jembe la mkono na Punda kama nguvu kazi utaishia kuwa lofa tu hata ujitume kufanya kazi kwa nguvu vipi teknolojia duni haijawahi mfanya mtu kuwa self reliantLakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsafa ya self-reliance
Porojo za akina Nyerere za Miaka ya 1960 ya azimio la Arusha!!! Zilizoharibu uchumi wa nchi na kuifanya nchi kuwa maskini hadi leo !!Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsa ya self-reliance ndiyo msingi wa chama chetu, utu , haki , Hakuna mzungu . myunani atakayetuletea maendeleo yetu bali sisi wenywewe ,
Ashafeli mapema sanakama kichwa cha habari hapo juu , tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili..
The so called wazungu, hawatoi ufadhili usio na faida kwao, iwe chama cha siasa au genge la wahuni kama ulivyosema. Fanya research vizuri utawaelewa.Sajilini NGO ndio mtapiga pesa vizuri, kusajili Chama Cha Sasa siyo deal hata wazungu wanaofadhiri siasa wanatowa ufadhili Kwa vyama kweli vinavyofanya siasa na siyo Kwa genge la wahuni waliokosa ajira na kuamuwa kuwalaghai Watanzania.
Jamii gani iliyonufaika na ujamaa hao wachina c wamesambaa dunia nzima wanaokota makopo raia wa Magharibi omewaona wapi wakiokota makopo na mavyuma mabovu aacha ujamaa ni shida tupu ndio maana tanzania tulikuwa shida tupu wakati wa Nyerere au kijana ulikuwa bado hujazaliwa.Mkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
Acheni ujinga, tumieni kiswahili.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Chama Chenu hamjui kiswahili?Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Kwanini jina ni la kipebari?Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Ujamaa ulishaanguka na kufeli.Mkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
Vijijini wataweza kulitamka hilo jina kwa kifupi kweli!! Waengi wakilisikia watahisi ni kale kanguo ka mtoto under 2 yearsUkatibu mnipe mimi
Chama kinachopinga ubepari chenye Jina la Lugha ya kibepari!! Ya kiingereza!!Eti ohh hatutaki wazungu wala nini chao tunajitosheleza kila kitu!! halafu jina tu la chama la kiingereza. Huku wanasema tunajitosheleza kila kitu je kwenye Lugha hatujitoshelezi ?kiswahili hatujitoshelezi hadi waazime kiingereza kwenye jina la chama liwe kwa kiingereza!!???Kwanini jina ni la kipebari?
Umoja party yenu imefia wapi tena?Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Bora NGOSajilini NGO ndio mtapiga pesa vizuri, kusajili Chama Cha Sasa siyo deal hata wazungu wanaofadhiri siasa wanatowa ufadhili Kwa vyama kweli vinavyofanya siasa na siyo Kwa genge la wahuni waliokosa ajira na kuamuwa kuwalaghai Watanzania.
Useme wewe unatuuliza tena sisiWadau naomba mnielewe jambo mmoja kwamba technilogy inaweza kuwa invented huko nchi za Magharibi lakini ikatumika hapa kwetu ninachokisema mimi ni kwamba this Nation is likely not benefiting with its own resources ,,embu mtuamabie BOT ina kiasi gani cha reserve ya Gold ?????????
Tutazunguka nchi nzima kuomba unngwaji mkono tukikamilisha usajili kaeni mkao wa kula ....
Mkipata kura mia mbili nchi nzima basi nitaamini angalau mna ushawishi.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsa ya self-reliance ndiyo msingi wa chama chetu, utu , haki , Hakuna mzungu . myunani atakayetuletea maendeleo yetu bali sisi wenywewe , ujamaa ideolgy ambayo imejengwa katika mioyo wa wananchi inahitajikuhusishwa tena ,nakuja kama nabii wa kizazi hiki kuiokomboa Taifa hili na chama chetu cha NERDP,kuna maeneo lazima maslahi ya Taifa yazingatiwe kwa ajili ya kizazi cha leo na kizazi kichacho ,first preriority National interest .....