let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Kwani biblia inasemaje kuhusu ili?.Kweli kabisa. Sio sasa hivi kila mtu anajiita nabii. Anafungua kibanda anaanza maunabii yake yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Tujifunze kwa wenzetu waislamu huwezi kuswalisha mpaka umepata mafunzo ya Quran au kwa wakatoliki ambao ili uwe padri lazima usomee muda mfrefu.
Mtu unaamka asubuhi unajiita nabii Econonist , huna elimu unadanganya watu kuhusu maono. Maoni bila kuijua Biblia utaangusha watu kama walivyofanya akina Kibwetere.
Na makaburi wanazikwa eneo mojaPale Kongowe Mbagala Mpakani mwa Dar na Mkuranga Pana she'll pembeni Pana Kanisa na Msikiti vimedumu kwa miaka mingi sana bila mgogoro wowote! So long sio ardhi ya Msikiti kanisa linatumia au Msikiti unatumia ardhi ya kanisa hakuna tatizo wewe ndio una tatizo!
Ukifika KAMATA makutano ya barabara ya Nyerere na Ile ya chang'ombe kama unaenda mjini kabla ya daraja upande wa kulia Pana Kanisa na Msikiti na vimetenganishwa na ukuta tu miaka mingi sana sana na hukujawahi kutokea mgogoro au mtafaruku.
Msikiti wa Kichangani na kanisa la kilutheri magomeni vimetenganishwa na morogoro road na Wala hakuna shida Ibada unaendelea huku na kule bila shida.
Huku mitaani tumewekeana mipaka wakristo na waislamu Wala hakuna shida!
Maofisini na sehemu za mikusanyiko tunakaa pamoja bila shida yoyote na kubwa zaidi tunazikana kama ndugu!
Kuna Sehemu Moja Huko Rombo Kilimanjaro waislamu walitoa sehemu ya eneo lao Ili pajengwe kanisa katoliki na likajengwa!
Punguza chuki kama hakuna chochote mnaingiliana au kuhitilafiana wakati wa Ibada !
Asalam
Yuko sahihi, biblia ni kitabu tuimagine leo mtu anasimama anaasema, BIBLIA NI KITABU TU kama vitabu vingine. anachukua kil akilicho kwenye Biblia, anageuza kuongea kinyume chake na anasambaza kwa tv. haya mambo yanakwaza sana Wakristo, kupita kiasi. hadi wamemtungia jina kuwa anaitwa MPINGA KRISTO. lakini serikali bado tu inamwangalia mtu aliyejifanya anamhubiri Kristo lakini anahubiri upinga Kristo.
Hilo Sina uhakika mkuu siwezi kulisemeaNa makaburi wanazikwa eneo moja
kwa kusema hivyo, kikaragosi kanisa chake kimefungiwa. tuone anaongelea wapi sasa. na TCRA watashut down na tv yake.Yuko sahihi, biblia ni kitabu tu