Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
View attachment 2790178
Screenshot_20230608-081622 (1).png
 
Pale Argentina wc 2022 Messi alisaidiwa kwa kiwango kikubwa na di Maria , Alexis mc callister , de Paul , Enzo Fernandez na Juan Alvarez .
Ndiyo maana Argentina ya wc 2018 iliishia robo fainali na kutolewa na France .
Kule Barcelona msaada wake mkubwa ulikuwa Andreas iniesta na xavi Hernandez
 
Toka messi ajiunge na hiyo timu wameshinda michezo yote aliyocheza zaidi ya 12 na kutoa draw moja. Baada ya international break na messi kwenda mapumziko wamecheza michezo zaidi ya 10 na yote wamepoteza na kutoa draw moja.
 
Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
View attachment 2790178View attachment 2790179
Mimi naona usajili wa Messi kwa Inter Miami unafaida kubwa kwa hiyo klabu. Unadhani hata wewe umeanza kuifuatilia hiyo timu na kutambua msimamo wa ligi yao kwa sababu gani?

Messi kaipeleka Inter Miami kwenye akili za watu. Watafanya sana biashara kupitia yeye, watapata hela kubwa na kuimarisha kikosi chao kwa kuwavutia wachezaji bora.

Wakati mwingine ni vizuri kufikiri tofauti kwenye jambo fulani, wengine wanaita nje ya box.

Ova
 
Pale Argentina wc 2022 Messi alisaidiwa kwa kiwango kikubwa na di Maria , Alexis mc callister , de Paul , Enzo Fernandez na Juan Alvarez .
Ndiyo maana Argentina ya wc 2018 iliishia robo fainali na kutolewa na France .
Kule Barcelona msaada wake mkubwa ulikuwa Andreas iniesta na xavi Hernandez
Na Di Maria alisaidiwa na nani? Na msaada wa iniesta pale Barca alikuwa nani?
 
Pale Argentina wc 2022 Messi alisaidiwa kwa kiwango kikubwa na di Maria , Alexis mc callister , de Paul , Enzo Fernandez na Juan Alvarez .
Ndiyo maana Argentina ya wc 2018 iliishia robo fainali na kutolewa na France .
Kule Barcelona msaada wake mkubwa ulikuwa Andreas iniesta na xavi Hernandez

Stupid kabisa, kama unashindwa kuona alichofanya Messi WC bhsi wewe hujui mpira,
 
Uko sahihi..lakini upeo wako wa kuchambua ni finyu.
Pamoja na matokeo ya uwanjani hao wachezaji wanasajiliwa pia kwa ajili ya kuongeza mapato ya timu kupitia matangazo,kuongeza wanachama wapya, viingilio vya uwanjani na mauzo ya Jezi.
Endelea kufanya Utafiti na ulinganisho wa hivyo vitu nilivyokutajia halafu uje tena.
Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
View attachment 2790178View attachment 2790179
 
Pale Argentina wc 2022 Messi alisaidiwa kwa kiwango kikubwa na di Maria , Alexis mc callister , de Paul , Enzo Fernandez na Juan Alvarez .
Ndiyo maana Argentina ya wc 2018 iliishia robo fainali na kutolewa na France .
Kule Barcelona msaada wake mkubwa ulikuwa Andreas iniesta na xavi Hernandez
Hujui mpira
 
Back
Top Bottom