Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

Pale Argentina wc 2022 Messi alisaidiwa kwa kiwango kikubwa na di Maria , Alexis mc callister , de Paul , Enzo Fernandez na Juan Alvarez .
Ndiyo maana Argentina ya wc 2018 iliishia robo fainali na kutolewa na France .
Kule Barcelona msaada wake mkubwa ulikuwa Andreas iniesta na xavi Hernandez
Umeongea pumba tupu.
 
Huyu jamaa sio rahisi kumwelewa maana pamoja na kufafanua tutazame idadi ya mechi lakini bado sijaelewa. Labda kuna mtu kaelewa atufafanulie
 
Before Messi: Inter Miami has no cup.
After Messi joined : Inter Miami got its first cup.
Hujui mpira wewe.
 
Pale Argentina wc 2022 Messi alisaidiwa kwa kiwango kikubwa na di Maria , Alexis mc callister , de Paul , Enzo Fernandez na Juan Alvarez .
Ndiyo maana Argentina ya wc 2018 iliishia robo fainali na kutolewa na France .
Kule Barcelona msaada wake mkubwa ulikuwa Andreas iniesta na xavi Hernandez
Umeandika ukiwa na akili timamu kabisa ? Yan mtu anaenda kuchukua balondor ya 8 unambeza ? Aisee
 
Huwa mnafikiri Messi anacheza peke yake?
Mpira huwa ni rahisi sana wa mdomoni.
Wakikusajili wewe utaisadia timu ya Miami kuliko Messi?
Hawa sio watu wa mpira kaka ni wachimba chumvi wa uvinza, kuna mtu wakumbeza Mess kwenye mpira ?
 
Hakuna mtu wa kumbeza Messi kwenye mpira, hakuna kombe ambalo amewah kushiriki na hajalibeba, kwanza hata wordcup finali alikuwa na player rating ya 10 ambayo ilifuatiwa na ya kipa martinez alikuwa na 9 ndio wanafuat kina macalister, Messi mchezaji hatari kuliko wote kuwah kutokea Duniani, narudia tena MESSI NDIO HATARI KULIKO WOTE WALOWAH KUTOKEA DUNIANI, Messi ndio mtu aliotandika mashuti mengi kuliko mtu yeyote World Cup ilopita alipiga mashuti 32, Alikuwa mmoja kati ya wachezaji watatu tu wa Argentina ambao walicheza dakika zote 690, alipiga pasi 347, Messi ni JINI….Watu huwa mnadhani mpira ni rahis Wordcup mpaka inaanza mpaka inaisha kuna wachezaji watano tu waloweza kutoa assist 3, alipiga key passes 21, mkuu hakuna pimbi hata mmoja anaruhusiwa kumbeza Messi.
 
Back
Top Bottom