Hakuna mtu wa kumbeza Messi kwenye mpira, hakuna kombe ambalo amewah kushiriki na hajalibeba, kwanza hata wordcup finali alikuwa na player rating ya 10 ambayo ilifuatiwa na ya kipa martinez alikuwa na 9 ndio wanafuat kina macalister, Messi mchezaji hatari kuliko wote kuwah kutokea Duniani, narudia tena MESSI NDIO HATARI KULIKO WOTE WALOWAH KUTOKEA DUNIANI, Messi ndio mtu aliotandika mashuti mengi kuliko mtu yeyote World Cup ilopita alipiga mashuti 32, Alikuwa mmoja kati ya wachezaji watatu tu wa Argentina ambao walicheza dakika zote 690, alipiga pasi 347, Messi ni JINI….Watu huwa mnadhani mpira ni rahis Wordcup mpaka inaanza mpaka inaisha kuna wachezaji watano tu waloweza kutoa assist 3, alipiga key passes 21, mkuu hakuna pimbi hata mmoja anaruhusiwa kumbeza Messi.