Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Luiz Miqquisone ni mmoja ya wachezaji wazuri sana kuwahi kusajiliwa katika ligi yetu hapa naongea kwa mujibu wa kiwango alichoonesha mara ya kwanza alipokuja Simba akitokea Mamelod sundowns ya Afrika kusini mpaka akaibuka kuwa kipenzi cha mashabiki na baadae kuuzwa kwenda Al ahly ya Misri
Ujio wa mara ya pili so far bado hatujamuona Miqquisone yule alieondoka hata kocha huwa hampangi kwenye kikosi kinachoanza. Sio mara zote ujio wa mchezaji kwa mara ya pili unakuwa na manufaa, yanga ilishawatokea kwa Makambo hata Mayele akifeli huko uarabuni usishangae akarudi yanga na ku-flop.
Je benchi la ufundi Simba lilifuatilia maendeleo ya Miqquisone na kuridhishwa na kiwango chake ndipo ikaamua kumrudisha au alisajiliwa kisiasa tu na kocha analazimika kumpanga kuondoa lawama kama anavyofanya kwa Moses Phiri?