Usajili wa Miqquisone yalikuwa mapendekezo ya kocha au siasa za kucheza na akili za mashabiki?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Luiz Miqquisone ni mmoja ya wachezaji wazuri sana kuwahi kusajiliwa katika ligi yetu hapa naongea kwa mujibu wa kiwango alichoonesha mara ya kwanza alipokuja Simba akitokea Mamelod sundowns ya Afrika kusini mpaka akaibuka kuwa kipenzi cha mashabiki na baadae kuuzwa kwenda Al ahly ya Misri

Ujio wa mara ya pili so far bado hatujamuona Miqquisone yule alieondoka hata kocha huwa hampangi kwenye kikosi kinachoanza. Sio mara zote ujio wa mchezaji kwa mara ya pili unakuwa na manufaa, yanga ilishawatokea kwa Makambo hata Mayele akifeli huko uarabuni usishangae akarudi yanga na ku-flop.

Je benchi la ufundi Simba lilifuatilia maendeleo ya Miqquisone na kuridhishwa na kiwango chake ndipo ikaamua kumrudisha au alisajiliwa kisiasa tu na kocha analazimika kumpanga kuondoa lawama kama anavyofanya kwa Moses Phiri?
 
Luiz Miqquisone ni mmoja ya wachezaji wazuri sana kuwahi kusajiriwa katika ligi yetu hapa naongea kwa mujibu wa kiwango alichoonesha mara ya kwanza alipokuja simba akitokea mamelod sundowns ya Afrika kusini mpaka akaibuka kuwa kipenzi cha mashabiki na baadae kuuzwa kwenda al ahly ya Misri

Ujio wa mara ya pili so far bado hatujamuona Miqquisone yule alieondoka hata kocha huwa hampangi kwenye kikosi kinachoanza. Sio mara zote ujio wa mchezaji kwa mara ya pili unakua na manufaa, yanga ilishawatokea kwa makambo hata Mayele akiferi uko uarabuni usishangae akarudi yanga na ku-flop

Je benchi la ufundi simba lilifuatilia maendeleo ya Miqquisone na kuridhishwa na kiwango chake ndipo ikaamua kumrudisha au alisajiriwa kisiasa tu na kocha analazimika kumpanga kuondoa lawama kama anavyofanya kwa moses phiri?
Ulikuwa ni usajili wa kufurahisha genge tu na sio matakwa ya kiufundi kwa kocha, viongozi wengi wa simba wanajua kucheza na akili za wafuasi wao, waliona miksoni anaimbwa sana na wao ili kulinda vibarua vyao waendelee kupiga 10% zao wakamuibukia bila kujali kiwango chake kwa sasa, Miksoni uyu wa sasa ni kama mtumishi hewa ndani ya timu ni hasara kwa klabu
 
Kila mechi ana mabadiriko,Jana alicheza muda mchache lkn niliona mabadiriko
Jana niliamua kumfuatilia Miq kila alipokuwepo. Jamaa alikuwa akipokea mpira anatoa pasi na anaiomba tena.

Jamaa ana uwezo na mpira anaujua sema bado anapewa muda mchache wa kucheza. Pia alijaribu kushuti ingawa shuti lilienda nje.

Inawezekana watu wanamuona Miq wa kawaida kwa sababu, kwa sasa anafuata mfumo wa kocha tofauti na zamani alipewa uhuru akawa anazunguka anavyotaka na kukusanya kijiji. Siku Miq akipewa hata dakika 45 ataonekana tu.
 
IZI HUU UTAKUWA MWIBA KWA SIMBA.

Sisi tunaojua mpira Tulisema zamani masikini na WAPUMBAVU wakaishia Kututukana na kutoa Lugha chafu....

Mtalia sana...
WENZENU tuliyaona yote hayo mapema sana
 
Luiz Miqquisone ni mmoja ya wachezaji wazuri sana kuwahi kusajiriwa katika ligi yetu hapa naongea kwa mujibu wa kiwango alichoonesha mara ya kwanza alipokuja simba akitokea mamelod sundowns ya Afrika kusini mpaka akaibuka kuwa kipenzi cha mashabiki na baadae kuuzwa kwenda al ahly ya Misri

Ujio wa mara ya pili so far bado hatujamuona Miqquisone yule alieondoka hata kocha huwa hampangi kwenye kikosi kinachoanza. Sio mara zote ujio wa mchezaji kwa mara ya pili unakua na manufaa, yanga ilishawatokea kwa makambo hata Mayele akiferi uko uarabuni usishangae akarudi yanga na ku-flop

Je benchi la ufundi simba lilifuatilia maendeleo ya Miqquisone na kuridhishwa na kiwango chake ndipo ikaamua kumrudisha au alisajiriwa kisiasa tu na kocha analazimika kumpanga kuondoa lawama kama anavyofanya kwa moses phiri?
Miquisone acheze namba 6 au 8 kama alivokuwa alicheza akiwa UD Songo ya Msumbiji, Huyo mbapanaji arudishwe kiungo cha kati
 
Tatizo la Simba ni mashabiki na Uongozi
Tatizo kubwa zaidi ni viongozi mkuu. Timu haina falsafa ya uchezaji na recruitment ya wachezaji imekua mbovu sana ni wakati wa simba kufanya mabadiliko kwenye timu ya maskauti. Pale yanga siamini kama injinia anawafatilia mwenyewe hawa wakina max nzegeli kabla ya kuwasajiri lazima atakua na undercover scouts.
 
Luiz Miqquisone ni mmoja ya wachezaji wazuri sana kuwahi kusajiriwa katika ligi yetu hapa naongea kwa mujibu wa kiwango alichoonesha mara ya kwanza alipokuja simba akitokea mamelod sundowns ya Afrika kusini mpaka akaibuka kuwa kipenzi cha mashabiki na baadae kuuzwa kwenda al ahly ya Misri

Ujio wa mara ya pili so far bado hatujamuona Miqquisone yule alieondoka hata kocha huwa hampangi kwenye kikosi kinachoanza. Sio mara zote ujio wa mchezaji kwa mara ya pili unakua na manufaa, yanga ilishawatokea kwa makambo hata Mayele akiferi uko uarabuni usishangae akarudi yanga na ku-flop

Je benchi la ufundi simba lilifuatilia maendeleo ya Miqquisone na kuridhishwa na kiwango chake ndipo ikaamua kumrudisha au alisajiriwa kisiasa tu na kocha analazimika kumpanga kuondoa lawama kama anavyofanya kwa moses phiri?
Kama team ilimleta manzoki ili kupumbaza wapiga kura nadhani jibu lipo hapo
 
Back
Top Bottom