Fighter101
Member
- Jan 8, 2022
- 46
- 64
Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana.
sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine kuamini Tanzania tabia ya mchezaji siyo kipaumbele.
Nawakubali sana South hawakutaka ushenzi huu, hawatataki hata kuwmwona akicheza na timu zao sema tu zikiwa away hawana namna.
Bongo kama ilivyo bongo ni bongo lala kwa kila kitu ndo maana hata mpira wetu ni tia maji tia maji, yanga mmeshindwa kumchukua hata mpole mkaenda kwa muhuni huyu. hata simba lilikuwa kosa kumchukua wakiwa wakijua kule alifanya ujinga
Watanzania tunatawaliwa kwa hisia na nguvu za macho kwa kelele za akina Manara,redio na waqchambuzi uchwara , mbona hakuna kelele taifa stars ifanye vizuri. Tuna penda kuweka ukweli pembeni acha tuendelee kuwa kichwa cha mwenda wazimu.