Hizi pressure mnazopandisha mapema hivi sijui ligi ikianza mtakuwa na hali gani!Jamaa anafunga hata akiwa bench, mechi 32 magoli 85 assist 42, ana shoot mitre 200 mwaka huu final ya CAF
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
tehe,,,tehe[emoji116]Na hii tabia yao ya kusajili bila kupima afya.. ohoooo.!!!
Ile bendi tutaivunja mara tu baada ya kuchukua makombe yote mfululizo kwa miaka 10 kuanzia huu msimu uliomalizika.Kwani ele bendi yenu ya kongo pale utopoloni imekufa?
Tena mAvi ya popo madogooooo
mimi sitaki kujieleza sana. huyo Morrison ni mavi tu hapa
Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Siku Gani Iyo Itakayofika Wewe? [emoji23][emoji23], Subirieni Vipigo Vyenu.Halafu siku ikifika ukiitwa uanze kulia kwa mods!
Mbwaaaaa mbwaaaaa mbwaaaaa anza kuzoea kabisaMimi Nakwambia Hivi Sisi Tukifungwa Na Nyie Kwenye Mechi Yoyote ile Msimu Ujao Popote Utakapoona Comment Au Post Yangu Hapa JF Niite Mbwaa *****.
Ghana na Nigeria bila kuhonga uitwi timu ya Taifa. Ata Azam ilikua na wachezaji wanaitwa timu ya Taifa kwakua walikua wakijiongeza.
Hapa umeandika chini ya kiwango
Mchezaji anasajiliwa kwa kuangalia recently records ambazo mtu yeyote anaweza kujihakikishia kujua kama hizo sifa anastahili au la
Hata wewe unaweza kufatilia katika database ukaona kweli hao wachezaji wana huo ubora ambao Simba wameusema, sasa Kusema viongozi wanasajili kwa kuangalia CV huo ni zaidi ya upimbi
Upo sahii 100% ila Okra ni habari nyingine...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ele bendi yenu ya kongo pale utopoloni imekufa?
tehe,,,tehe[emoji116]View attachment 2289261
Mnaboa mpk nakudharau kwani bila mitusi comment haiekewekiMpira Sio tako kama lako!!
Ni watu wa mpira tu ndiyo wataelewa wale shabiki oyaoya hawaoni ndaniNamaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.
Hivi uto mnanielewa?
Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.
Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!
Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Ndo Mtufunge Sasa Tuone [emoji23][emoji23][emoji23]Mbwaaaaa mbwaaaaa mbwaaaaa anza kuzoea kabisa
Miaka 28 anajiandaa kwenda wapi?Simba inachukua vyuma vinavyojiandaa kwenda ulaya, wakati jamaa zetu wanachukua waliotoka huko miaka 20 iliyopita!.
Hapo kwenye kupasua ngoja tuone kiungo atakaefuata kusajiliwa, lakini hata kwa kiungo mkabaji aliyetoka Coastal jamaa ana nguvu na mapafu, goli moja assist 3.