Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Naomba nikuulize swali kivingine.sitoi mtu aondoke chikwende aje moses phiri then kiungo mkabaji nitatafuta wa kibongo mwenye liumbo kama la protas wa namungo ila awe na akili ya mpira siyo kama protas,umbo kubwa la kimpira ila akili sifuri
Ligi ya ndani inaruhusu wageni kumi tu, swali langu kwako ni je, kati ya HAO WAGENI 11 hapo juu unamuondoa nani ili kubakisha WAGENI 10 (kwa ajili ya ligi ya ndani)
NB: Hatujui kama kanuni za ligi ya mabingwa mwakani zitaruhusu ongezeko la wachezaji kama ilivyokuwa msimu huu kutokana na Covid 19.