Naomba nikuulize swali kivingine.sitoi mtu aondoke chikwende aje moses phiri then kiungo mkabaji nitatafuta wa kibongo mwenye liumbo kama la protas wa namungo ila awe na akili ya mpira siyo kama protas,umbo kubwa la kimpira ila akili sifuri
hapana kwa maoni yangu hapo fraga viera asubiri tu wa kuachwa ni chikwende ili attacking midfilder anayejua kufunga aje...maana kuongeza strikler wa 4 ni kuchoshana tu....chikwende anatoka so watakuwa wageni kumiNaomba nikuulize swali kivingine.
Ligi ya ndani inaruhusu wageni kumi tu, swali langu kwako ni je, kati ya HAO WAGENI 11 hapo juu unamuondoa nani ili kubakisha WAGENI 10 (kwa ajili ya ligi ya ndani)
NB: Hatujui kama kanuni za ligi ya mabingwa mwakani zitaruhusu ongezeko la wachezaji kama ilivyokuwa msimu huu kutokana na Covid 19.
Mimi nadhani Simba ndio timu ambayo haina presha kabisa kwenye kusajili wachezaji wa kigeni.Manyama ni mmojawapo wa wachezaji wazuri sana kwa mtu anayeutazama mpira kwa makini. Ni aina ya mabeki wanaokupa vitu vingi kwa wakati mmoja. Urefu, ana mashuti makali, anapiga vichwa vizuri vya kuokoa na kufunga, anapanda vizuri kusaidia mashambulizi na wakati mwingine anafunga mwenyewe ana uwezo wa kukokota mpira kwa umbali mrefu. Ana udhaifu kidogo sana kwenye ukabaji lakini anarekebishika iwapo atapata kocha mzuri au kama atacheza na wachezaji wazoefu zaidi yake. Kikubwa kwake ni kujiamini tu maana hizi timu kubwa ukishakosa kujiamini kwenye mechi mbili tatu za mwanzo basi kuanzia hapo ni benchi halafu kinachofuata ni safari na muziki. Kwa timu yoyote iliyompata iwe Yanga, Simba(tetesi) ama Azam itakuwa imelamba dume. Kama kaenda Simba basi haiihitaji kutumia akili nyingi kuweza kujua kuwa Gadiel Michael safari imemkuta.
Kama kuna timu ina wakati mgumu kwenye kusajili wachezaji wa kigeni kwenye dirisha hili lijalo la usajili basi ni Simba kwa sababu sasa hivi kichwa kinawauma wamsajili nani wamuache nani. Yanga wao hawana tatizo sana kwani wameshajua nani wa kuwapiga chini.
Pendekeza mchezaji gani wa kibongo anayeweza kuchukua hiyo nafasi ili Fraga asirudi Simba. Huyo Protus umeeleza kwamba hatafaa (licha ya kuwa na mwili mkubwa). Wewe unaijua ligi ya nyumbani, ni mchezaji gani wa ndani atafaa katika nafasi hiyo (kimsingi awe bora zaidi ya Mzamiru, Mkude na Nyoni)hapana kwa maoni yangu hapo fraga viera asubiri tu wa kuachwa ni chikwende ili attacking midfilder anayejua kufunga aje...maana kuongeza strikler wa 4 ni kuchoshana tu....chikwende anatoka so watakuwa wageni kumi
nikasema kuhusu kiungo mkabaji atafutwe jitu lenye mwili kama Protas wa namungo na awe na akili ya mpira maana protas mwili anao ila akili kisoda so kiungo mkabaji atafutwe wa kibongo
Taifa StarsHuyo Edward katoka timu gani?
Kuna watakaoachwa hapo.Kwa maoni yako ni kwamba kwenye nafasi ya ushambuliaji tusibadili chochote ?
Kama itafanyika kama ulivyopendekeza bado idadi ya wageni itazidi 10, kama ifuatavyo:
1. Onyango
2. Wawa
3. Lwanga
4. Bwalya
5. Chama
6. Morriston
7. Milestone
8. Kaveri
9. Mugalu
10. Fraga
11. Michael Phiri
Itakuaje hapo ?
Pendekeza mchezaji gani wa kibongo anayeweza kuchukua hiyo nafasi ili Fraga asirudi Simba. Huyo Protus umeeleza kwamba hatafaa (licha ya kuwa na mwili mkubwa). Wewe unaijua ligi ya nyumbani, ni mchezaji gani wa ndani atafaa katika nafasi hiyo (kimsingi awe bora zaidi ya Mzamiru, Mkude na Nyoni)
Myahudi wa buza na wewe kumbe uko msimbazi πKuna watu wanatununa ππ
Kama yupi, karibu tujadiliKuna watakaoachwa hapo.
Tunakusubiri, karibu sana.Ngoja kwanza nitarudi baadae
Kumbe Lwanga sio mbongo duuKwa maoni yako ni kwamba kwenye nafasi ya ushambuliaji tusibadili chochote ?
Kama itafanyika kama ulivyopendekeza bado idadi ya wageni itazidi 10, kama ifuatavyo:
1. Onyango
2. Wawa
3. Lwanga
4. Bwalya
5. Chama
6. Morriston
7. Milestone
8. Kaveri
9. Mugalu
10. Fraga
11. Michael Phiri
Itakuaje hapo ?
Kwani Chikwenda hayupo? Sijamuona muda mrefu sanaKwa maoni yako ni kwamba kwenye nafasi ya ushambuliaji tusibadili chochote ?
Kama itafanyika kama ulivyopendekeza bado idadi ya wageni itazidi 10, kama ifuatavyo:
1. Onyango
2. Wawa
3. Lwanga
4. Bwalya
5. Chama
6. Morriston
7. Milestone
8. Kaveri
9. Mugalu
10. Fraga
11. Michael Phiri
Itakuaje hapo ?
Yupo, bado ni mchezaji wa Simba. Ila katika mjadala wetu tunaumulika usajili wa msimu ujao huku tukitazamia kwamba huenda akaachwa kutokana na kukosa nafasi ya kucheza na ushindani wa namba katika nafasi yake.Kwani Chikwenda hayupo? Sijamuona muda mrefu sana
Ni Mganda mtu huyu.Kumbe Lwanga sio mbongo duu
Nassor kapamasitoi mtu aondoke chikwende aje moses phiri then kiungo mkabaji nitatafuta wa kibongo mwenye liumbo kama la protas wa namungo ila awe na akili ya mpira siyo kama protas,umbo kubwa la kimpira ila akili sifuri