1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Kuvunja mikataba hatuweziHivi mkuu, kwa mfano nikasema "Simba inahitaji golikipa bora zaidi ya Manula, pendekezo langu mimi ni El Shenawy wa Al Ahly" ninaweza kuwa sahihi ?
Najaribu kuuelewa mchango wako hapo juu.
Sikumbuki ni lini simba tulivunja mkataba.Jaribu kumfatilia Moses Phiri wa Zanaco ya Zambia anaweza kufaa au wavunje benki wamchukue Prince Dube,ingawa Dube itakuwa ngumu kwa kuwa ameongeza muda kwenye mkataba wake.
Sasa hyo kumaliza mkataba alafu watu wengine wasimuone?Yes sema yeye anacheza namba nane na kumi anaweza pia kucheza wing ya kushoto kifupi ni midfielder bora sana kwa level ya Simba anamaliza mkataba wake soon.
Tusubiri baada ya june ataelekea wapi huenda miaka michache ijayo atatimukia Ufaransa.Sasa hyo kumaliza mkataba alafu watu wengine wasimuone?
Wewe Mayai Viza FC na Utopolo wenzako acheni kubwabwaja... Mpira una Propaganda na Intelejensia zaidi ya Siasa na Vita! Chukua hiii...Hawa ndio mbumbumbu bhana
Walimchukua gadiel halafu wamemuua kipaji na namba anacheza zimbwe... Halafu wameongeza tena beki mashoto mwengine.
Muhaho umewashika
TumepigwaKocha kishingo kipindi yuko simba alitamani sana kupata beki mrefu wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Ally Sonso ambaye shida yake ni mistakes nyingi, mwingine ni Abdi Banda ambaye kwa kweli sidhani kama kuna mtu anataka kuiona sura yake pale Msimbazi.
Sasa leo nasikia Edward Manyama kasaini miaka miwili, kama ni kweli HONGERENI SANA KAMATI YA USAJILI huyu abadilishwe awe anacheza nne au tano na sababu naturally ni namba 3 atakuwa ana mpa back up kubwa sana gadiel michael na zimbwe jr.
Hapo sasa kabaki Michael Phiri attacking midfielder wa zanaco kazi kweisha kabisa, na kiungo mkabaji mrudisheni fraga, wachukue nafasi za chikwende na kahata. Issue za shabi juma achana nazo namba mbili hata onyango na nyoni wanacheza hata ame Ibrahim aanze kuzoeshwa hiyo namba.
Manara kawashika masikio hawa jamaa ona sasa hata huyo manyama kamwaga wino Azam wao wamebaki na story za wauza kahawa.Hawa ndio mbumbumbu bhana
Walimchukua gadiel halafu wamemuua kipaji na namba anacheza zimbwe... Halafu wameongeza tena beki mashoto mwengine.
Muhaho umewashika
Simba hawana hela ya kumnunua Dube!Simba wamchukue Prince Dube ni striker ambaye kwenye kikosi badala ya kwenda mbali sana.
Mkuu, msingi wa hoja yangu haukuwa kwenye ubora wa Bwalya dhidi ya ule wa huyo Sylla. Hoja yangu ililenga kujua ya kwamba tunasajili kutokana na mahitaji ya sasa ya kikosi au tunasajili mchezaji yeyote aliye bora kuliko yule tuliyenaye kikosini ?Morlaye Sylla anamaliza mkataba wake this June.
Pili Bwalya anashindwa kucheza mechi physical ndiyo maana mechi zinazohitaji nguvu hupoteana.
Kamuangalie Morlaye Sylla kijana mwenye 22 years uje ulinganishe na Bwallya.
Nikiri wazi kutokumfahamu huyo mchezaji, ila kwa sifa ulizozitaja na umri wake kuwa bado ni mdogo, nini kinasababisha yeye kumaliza mkataba mwezi huu (bila kuongezwa) ?Yes sema yeye anacheza namba nane na kumi anaweza pia kucheza wing ya kushoto kifupi ni midfielder bora sana kwa level ya Simba anamaliza mkataba wake soon.
Nikiri wazi hii comment imenishangaza sana.Nikiri wazi kutokumfahamu huyo mchezaji, ila kwa sifa ulizozitaja na umri wake kuwa bado ni mdogo, nini kinasababisha yeye kumaliza mkataba mwezi huu (bila kuongezwa) ?
Maana kwa maneno mengine unaikumbusha au kuisihi Simba kumsajili mchezaji mwenye sifa kemkem, akiwa bado kinda kabisa, KWA USAJILI HURU.
What is going on at Horoya?
Swali langu ni je, mchezaji potential namna hiyo uliyomuelezea (kwa umri na kiwango chake) anawezaje kufikia ukomo wa mkataba wake bila timu inayomtegemea kumuongezea ?Nikiri wazi hii comment imenishangaza sana.
Kwani mchezaji akiwa mdogo anakuwa na mkataba wa maisha kwenye timu yake ?
Au wachezaji wadogo mikataba yao huwa inajiongeza automatic ?
Mbona hata hapo Simba sports kuna wachezaji wengi tu mikataba yao inamalizika mwisho wa msimu?
Bado naendelea kukushangaa tu.Swali langu ni je, mchezaji potential namna hiyo uliyomuelezea (kwa umri na kiwango chake) anawezaje kufikia ukomo wa mkataba wake bila timu inayomtegemea kumuongezea ?
Je, amekataa mwenyewe kuongeza mkataba ?
Najaribu kujiuliza maswali hayo, sio kwa ubaya ndugu yangu.
Kama maswali hayo si ya msingi, basi acha mimi na wewe tuendelee kushangaana kwa zamu.
Sawa, asante kwa maelezo. Kushangaa kuendeleeBado naendelea kukushangaa tu.
Mchezaji kuelekea ukingoni mwa mkataba wake haimanishi kwamba hakuna mazungumzo na klabu yake who knows kama ana malengo ya kuelekea kwenye malisho mazuri zaidi ?
Aisee