Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.

Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
 
Football game ni ngumu kuielewa sana ngoja nikupe mifano
Lukaku from man u to inter ,inter to chelsea
Eden hazard from chelsea to real Madrid
The current lionel messi in Paris
Nikuulize mkuu

Ukipewa phil foden na jack grealish
Kama kweli unaujua mpira utachagua nani?
 
huyu mchezaji ni wa kiwango cha kucheza Arsenal kwa ajili ya kugombea top 4 na Europa na sio kwa ajili ya kugombea Ubingwa.
 
Football game ni ngumu kuielewa sana ngoja nikupe mifano
Lukaku from man u to inter ,inter to chelsea
Eden hazard from chelsea to real Madrid
The current lionel messi in Paris
Nikuulize mkuu

Ukipewa phil foden na jack grealish
Kama kweli unaujua mpira utachagua nani?
Duh swali gumu kwangu... Mimi nauelewa wangu japo sijaulizwa naweza sema Grealish japo namkubali Sana Foden.
 
hivi unajua sadio mane na sterling mwenye magoli mengi nani ?

kuwa na magoli mengi sio kigezo kikuu cha mchango, Unakaa bench mechi nne ukichezeshwa moja na kibonde kama Norwich unafunga mabao mawili ndio nini sasa? Sterlng na Jesus watabaki kuwa ni wachezaji wakiwangocha kawaida tu, Chelsea na Arsenal wamevamia mizoga wakidhani ni lulu.
 
Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.

Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Si ndio timu pinzani zifurahie sasa kwamba upinzani unapungua? Au shida iko wapi?
 
kuwa na magoli mengi sio kigezo kikuu cha mchango, Unakaa bench mechi nne ukichezeshwa moja na kibonde kama Norwich unafunga mabao mawili ndio nini sasa? Sterlng na Jesus watabaki kuwa ni wachezaji wakiwangocha kawaida tu, Chelsea na Arsenal wamevamia mizoga wakidhani ni lulu.
Una leseni class gani upewe wewe timu ukafanye usajiri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.

Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Inawezekana wewe huna uelewa na Mpira wa Miguu..

Kama unakumbuka Juan Mata aliwekwa Bench na Chelsea lakini akasajiliwa Na Manchester united na akawa mchazaji wao Chaguo la kwanza

Cesc Fabregas aliwekwa bench Barcelona Na akawa Akicheza mashabiki wa Barcelona Wanamzomea...chelsea wakamnunua na akashinda EPL 2. FA Cup, League Cup, nk

Nemanja Matic Vile vile
Tafuta historia

Mchezaji Kukaa bench haina maana kwamba hajui..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom