Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwani hamnazo wwSterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
kachukua ubingwa mara nnehuyu mchezaji ni wa kiwango cha kucheza Arsenal kwa ajili ya kugombea top 4 na Europa na sio kwa ajili ya kugombea Ubingwa.
Duh swali gumu kwangu... Mimi nauelewa wangu japo sijaulizwa naweza sema Grealish japo namkubali Sana Foden.Football game ni ngumu kuielewa sana ngoja nikupe mifano
Lukaku from man u to inter ,inter to chelsea
Eden hazard from chelsea to real Madrid
The current lionel messi in Paris
Nikuulize mkuu
Ukipewa phil foden na jack grealish
Kama kweli unaujua mpira utachagua nani?
kachukua ubingwa mara nne
hivi unajua sadio mane na sterling mwenye magoli mengi nani ?akiwa kama mchezaji jalizia nasio tegemeo.
Umefuzu utapeli. Kagombee nafasi ya kisiasa 😀naweza sema Grealish japo namkubali Sana Foden.
hivi unajua sadio mane na sterling mwenye magoli mengi nani ?
Si ndio timu pinzani zifurahie sasa kwamba upinzani unapungua? Au shida iko wapi?Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Una leseni class gani upewe wewe timu ukafanye usajirikuwa na magoli mengi sio kigezo kikuu cha mchango, Unakaa bench mechi nne ukichezeshwa moja na kibonde kama Norwich unafunga mabao mawili ndio nini sasa? Sterlng na Jesus watabaki kuwa ni wachezaji wakiwangocha kawaida tu, Chelsea na Arsenal wamevamia mizoga wakidhani ni lulu.
wewe ndio hujui chochote kuhusu mpiraUna matatizo sio bure
hili jukwaa limekuwa ulimwengu wa kambaleJamani usikatukane makubwa hivo...
Inawezekana wewe huna uelewa na Mpira wa Miguu..Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Lakini Ndiyo mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi akiwa Na pep guardiola baada ya Lionel messiStelling kwenye Magoli 10 anapata 1