BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Yana nnMambo ya tetesi bwana..
Mwenyekiti wa bodi ndio Rais anateua. Wajumbe wanateuliwa na Waziriyaani hata bodi ya wataalamu rais ndiye anateua? nchi hii inahitaji repair kubwa sana!!
Yaani Musukuma akiwa waziri ndiye anateua wanabodi ya ma engineer?😀Mwenyekiti wa bodi ndio Rais anateua. Wajumbe wanateuliwa na Waziri
Ni nchi ya hovyo snyaani hata bodi ya wataalamu rais ndiye anateua? nchi hii inahitaji repair kubwa sana!!
Akiwa waziri, ni wajibu wake kuteuaYaani Musukuma akiwa waziri ndiye anateua wanabodi ya ma engineer?😀
SijakuelewaHii nchi ni ya kijinga sn, pamoja na usajili kutokufanyika kuna shughuli gani imekwama?
Kwa vile usajili haufanyiki ni jambo gani limekwama?Sijakuelewa
Ndiyo maana nchi ni masikini shauri ya katiba mbovuNa rais nae anapochelewa kuchagua mwenyekiti na ndio tanzania tutakuwa na upungufu wa ma- engineer.............ila Tanzania katiba yetu imempendelea sana kimadaraka rais
We jamaa yaani hujui kuwa mtu hawezi hata kupata usajili wa kampuni za ukandarasi bila kuwa registered, Kuna kazi huwezi kufanya. Au unachukulia rahisi hili jamboKwa vile usajili haufanyiki ni jambo gani limekwama?
ndiyo sababu hata wanasiasa wa darasa la saba wanawadharau wataalamu wa nchi hii. kwa nini kusiwepo mfumo maalum kama ilivyo Tanzania Law Society ambao wanachaguana wao wenyewe?Akiwa waziri, ni wajibu wake kuteua
Usajili ni karatasi tu na urasimu lakini inaongeza nini?We jamaa yaani hujui kuwa mtu hawezi hata kupata usajili wa kampuni za ukandarasi bila kuwa registered, Kuna kazi huwezi kufanya. Au unachukulia rahisi hili jambo