Usajili wa Wahandisi ERB waendelea kukwama kisa bodi iliyopo imemaliza muda wake. Rais tunaomba uteue Mwenyekiti mpya wa Bodi

Wakuu poleni na majukumu.

Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake.

Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na wajumbe wachaguliwe, ili vijana wasajiliwe kuwa wahandisi.

Nawasilisha
Kwani raisi ni mhandisi?
 
alafu tukijenga madaraja wanakuja diploma holders from china 🤣🤣🤣🤣 kusimamia ma engineer wetu bradifakin
 
Yanakuja kama mazombi kusema katiba mpya haileti ugali mezani utafikiri nchi yote hii ni ya wala ugali.
Ukiwaambia katiba mpya wanakuona useless... imagine vitu serious kama hivi watu wanamsubiri mtu mmoja mwenye files 15K mezani kwake.

Nchi ya hovyo sana hii.
 
ndiyo sababu hata wanasiasa wa darasa la saba wanawadharau wataalamu wa nchi hii. kwa nini kusiwepo mfumo maalum kama ilivyo Tanzania Law Society ambao wanachaguana wao wenyewe?
Yaani Tz bado aiseeeee, sasa mambo hata ya proffesional bodies, yasimamiwe na wanasiasa.... kaazi kwelikweli.
 
Wakuu poleni na majukumu.

Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake.

Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na wajumbe wachaguliwe, ili vijana wasajiliwe kuwa wahandisi.

Nawasilisha
Engineers wasioweza kujenga jengo hata la ghorofa tatu au hata kipande cha barabara kwa kiwango cha lami unawasajili wa nini? Kadaraja kadogo kama Ile salender hadi aitwe mchina. Bwawa dogo kama JNHPP hadi electric engineers watoke nje ya nchi bado mnahitaji registration?!
 
Wewe fala bladfakeni tulia uelewi kitu
 
Engineers wasioweza kujenga jengo hata la ghorofa tatu au hata kipande cha barabara kwa kiwango cha lami unawasajili wa nini? Kadaraja kadogo kama Ile salender hadi aitwe mchina. Bwawa dogo kama JNHPP hadi electric engineers watoke nje ya nchi bado mnahitaji registration?!
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza kama hujui kitu bora utulie.
 
Back
Top Bottom