Kwani raisi ni mhandisi?Wakuu poleni na majukumu.
Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake.
Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na wajumbe wachaguliwe, ili vijana wasajiliwe kuwa wahandisi.
Nawasilisha
Mkuu ni kwamba Rais anamteua mwenyekiti wa bodi ya ERBKwani raisi ni mhandisi?
Kwa nini wasifanye kama TLS?Mkuu ni kwamba Rais anamteua mwenyekiti wa bodi ya ERB
Uelewa wako ni mdogo sana. Pole mkuu.Usajili ni karatasi tu na urasimu lakini inaongeza nini?
Yaani Musukuma akiwa waziri ndiye anateua wanabodi ya ma engineer?😀
Ukiwaambia katiba mpya wanakuona useless... imagine vitu serious kama hivi watu wanamsubiri mtu mmoja mwenye files 15K mezani kwake.
Nchi ya hovyo sana hii.
Yaani Tz bado aiseeeee, sasa mambo hata ya proffesional bodies, yasimamiwe na wanasiasa.... kaazi kwelikweli.ndiyo sababu hata wanasiasa wa darasa la saba wanawadharau wataalamu wa nchi hii. kwa nini kusiwepo mfumo maalum kama ilivyo Tanzania Law Society ambao wanachaguana wao wenyewe?
Engineers wasioweza kujenga jengo hata la ghorofa tatu au hata kipande cha barabara kwa kiwango cha lami unawasajili wa nini? Kadaraja kadogo kama Ile salender hadi aitwe mchina. Bwawa dogo kama JNHPP hadi electric engineers watoke nje ya nchi bado mnahitaji registration?!Wakuu poleni na majukumu.
Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake.
Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na wajumbe wachaguliwe, ili vijana wasajiliwe kuwa wahandisi.
Nawasilisha
Wewe fala bladfakeni tulia uelewi kituEngineers wasioweza kujenga jengo hata la ghorofa tatu au hata kipande cha barabara kwa kiwango cha lami unawasajili wa nini? Kadaraja kadogo kama Ile salender hadi aitwe mchina. Bwawa dogo kama JNHPP hadi electric engineers watoke nje ya nchi bado mnahitaji registration?!
Hahahahaha........naona engineer feki umehamaki! Count yourself useless engineer, hili halina ubishi. Nchi haina sababu ya kendelea kuregister takataka.Wewe fala bladfakeni tulia uelewi kitu
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza kama hujui kitu bora utulie.Engineers wasioweza kujenga jengo hata la ghorofa tatu au hata kipande cha barabara kwa kiwango cha lami unawasajili wa nini? Kadaraja kadogo kama Ile salender hadi aitwe mchina. Bwawa dogo kama JNHPP hadi electric engineers watoke nje ya nchi bado mnahitaji registration?!