Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Sasa kwanini mnafanya hivyo au business strategy? Kama ulivyosema

Iko hivi, Diamond ana bei sana show zake wakati huo huo watu wanamuulizia sana, sasa ili kupunguza presha ya washabiki anatafutwa mtu mzuri na wa bei ya chini anatangazwa kwamba yeye ni bora kuliko Diamond, na kura zinapigwa anashinda, watu wanakuwa wanaomba nyimbo zake sana.

Baada ya kampeni kushika ndo mnaambiwa Ali K atakuwepo, so mnaona kwamba Ali K ni bora kuliko Diamond na kunakuwa hakuna kumuulizia kwa sababu tayari mnaye Ali K ambaye ni mzuri zaidi.
 
Kumbe ndo iko hivi nilikuwa sijui.
 
Siyo usahili ni Usajili.... Kama Pogba vile kwenda Manchester hahaha
 
Kumbe ndo iko hivi nilikuwa sijui.

Hii inatumika kila mahali, angalia hata kwenye michezo ikitokea Nike wakashindwa kumdhamini mchezaji fulani labda ameenda kwa Adidas utakuta wanatafuta jinsi ya kumpromote mchezaji mwingine ili aonekane bora na bidhaa yao iuze.

So hata kwenye Muziki ni hivi hivi.
 
Sasa nimeelewa. Hiyo kwenye mpira wa miguu nimeshawahi kusikia
 
Kuishi kwa mazoea. Usikasirike sana zile ni za kibiashara tu.
 
Fiesta ni timu ya mpira wa miguu?

Na ndio maana wanabebwa na costa kuzunguka mikoa yote kama timu au vipi?
Uongo huo. Costa huwa katika mikoa ya karibu kama Moro,Dodoma,Tanga

Uko kwingine kote Mwewee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…