Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Sasa kwanini mnafanya hivyo au business strategy? Kama ulivyosemaNisingeandika hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini mnafanya hivyo au business strategy? Kama ulivyosemaNisingeandika hivyo.
Sasa kwanini mnafanya hivyo au business strategy? Kama ulivyosema
Nimekuuliza swali umeshindwa kunijibu! Hivi ni vigezo gani vimetumika kumpa show Ommy Dimpoz?Pamoja Mkuu. Salute
Aisee we jamaa.....Fiesta ni timu ya mpira wa miguu?
Na ndio maana wanabebwa na costa kuzunguka mikoa yote kama timu au vipi?
Mbona anaimbaga za wenzake vizuri tu. Hawez kushuka ataimba cover za kina Rihanna, Adele et al.Ruby akimaliza nyimbo zake 2 anashuka jukwaani??
Kumbe ndo iko hivi nilikuwa sijui.Iko hivi, Diamond ana bei sana show zake wakati huo huo watu wanamuulizia sana, sasa ili kupunguza presha ya washabiki anatafutwa mtu mzuri na wa bei ya chini anatangazwa kwamba yeye ni bora kuliko Diamond, na kura zinapigwa anashinda, watu wanakuwa wanaomba nyimbo zake sana.
Baada ya kampeni kushika ndo mnaambiwa Ali K atakuwepo, so mnaona kwamba Ali K ni bora kuliko Diamond na kunakuwa hakuna kumuulizia kwa sababu tayari mnaye Ali K ambaye ni mzuri zaidi.
Fikra potofushow ya bure na allowance ya msosi na accommodation.
asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na mutahaba.
Fikra potofuKwa Ruge hata kama pesa kiduchu utasaini tu leta jeuri ufe njaa mjini..
Biashara binafsi siyo haki yako kujua.kwa show kama maua sama
bilnas
ben paul
wanapewa kias gan kama diamond lazma apewe milion 10
Wasanii chipukizi wa mikoa husika. Waleee wa mwanzo mwanzo wanaopewaga nafasi ya kujitangaza.Tutajieni kabisaa na wasanii watakao piga shoo buree...
Siyo usahili ni Usajili.... Kama Pogba vile kwenda Manchester hahahaSijaelewa....yaani wasanii kama Navy Kenzo Fid Weusi and the like wanafanyiwa usahili?!
Hii imenishangaza kama ile habari ya Chidy Benz kwenda kutambulisha nyimbo redioni bila kujua hata chorus ya nyimbo yake(iliyofanywa na Raynavy)
Usahili?! As BSS n Tusker Project Fame?!!!
Fikra potofuMkuu kama anashindwa kumwita ruge baby basi awezi kupenya!
Kumbe ndo iko hivi nilikuwa sijui.
Maua ana nyimbo zaidi sita zinazojulikana. Kati ya hizo 3 zinemefanya vizuri sana na nyingine 3 hakuhit sana ila zinajulikana.Na iyo live band anaimba nyimbo zake 2 tu.
Nyingine zote copy.
Sasa nimeelewa. Hiyo kwenye mpira wa miguu nimeshawahi kusikiaHii inatumika kila mahali, angalia hata kwenye michezo ikitokea Nike wakashindwa kumdhamini mchezaji fulani labda ameenda kwa Adidas utakuta wanatafuta jinsi ya kumpromote mchezaji mwingine ili aonekane bora na bidhaa yao iuze.
So hata kwenye Muziki ni hivi hivi.
Usilolijua usiku wa giza.Pesa ya diamond hawana..dai hapig show ya 1m...
Kuishi kwa mazoea. Usikasirike sana zile ni za kibiashara tu.Wao ndio wamekurupuka
Wanauwezo wa kuwapa mikataba then wakafanya Pre Fiesta Party kuwatambulisha...simple...hiyo siyo timu ya mpira bob tofautisha...
Wapi dunia hii watu wanaandaa matamasha wanafanya huo "usanii"?
Mwisho wa siku wataenda kupandishwa dala dala kuzunguka tanzania nzima kama wapo kwenye study tour!.....ajabu!
BiasharaHiv sasa zitapigwa nyimbo za wasanii waliosailiwa mpaka bas wale wasiopata hili dili wasubir mpaka fiesta iishe ndio watapata tena airtime mawingu fm
Uongo huo. Costa huwa katika mikoa ya karibu kama Moro,Dodoma,TangaFiesta ni timu ya mpira wa miguu?
Na ndio maana wanabebwa na costa kuzunguka mikoa yote kama timu au vipi?