Hayo ni mawazo yako lakini.Iko hivi, Diamond ana bei sana show zake wakati huo huo watu wanamuulizia sana, sasa ili kupunguza presha ya washabiki anatafutwa mtu mzuri na wa bei ya chini anatangazwa kwamba yeye ni bora kuliko Diamond, na kura zinapigwa anashinda, watu wanakuwa wanaomba nyimbo zake sana.
Baada ya kampeni kushika ndo mnaambiwa Ali K atakuwepo, so mnaona kwamba Ali K ni bora kuliko Diamond na kunakuwa hakuna kumuulizia kwa sababu tayari mnaye Ali K ambaye ni mzuri zaidi.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Arusha mna fujo fiesta ina ishia moshi uko hafiki
Hiyo gari ninayo, naiuza mil 20 tu. Halafu humo ndani kuna mhaya?Gari yakawaida...ila walivyotanua barabara hapo hyo escort ni bure? C kama kufunga road inabidi ulipie
Acha kukariri wewe!!!Fiesta bila Jay Dee ni sawa na supu bila limao
Yupo B DozenHiyo gari ninayo, naiuza mil 20 tu. Halafu humo ndani kuna mhaya?
Halafu mtu baadae mtu anaanza kulalamika eti Mawingu Fm wanyonyaji.... wakati yeye anasoma $ tu bila kuangalia mengineyo.Wanaangalia Kiasi cha Mpunga tu alafu Wanasaini. Labda huenda walipewa hiyo mikataba waisome kwanza siku zilizopita kabla hawajasainishwa.
Ametoa wimbo gani vile?
Hayo ni mawazo yako lakini.
Ndo msanii wapi huyo?Yupo B Dozen
Makampuni ya bia yamejitoa kudhamini kwenye maeneo kadhaa. Kili unawaona kwenye soka? Simba na Yanga wanalia. Na tuzo mwaka huuu holaaaTime hii serengeti vipiiii!?
Huyo si Msanii,ni Presenter wa Radio ya Clouds FM kwenye kipindi maarufu XXL kinachoruka hewani Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa Saba mchana mpaka saa kumi.Ndo msanii wapi huyo?
Yeah Arusha haitafikaArusha mna fujo fiesta ina ishia moshi uko hafiki
Arusha kwani bado wanakula mibange?Yeah Arusha haitafika