Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Hivi wale mahasimu wakubwa wawili watakuwepo kwa list?
Nawaza tu.....
 
Iko hivi, Diamond ana bei sana show zake wakati huo huo watu wanamuulizia sana, sasa ili kupunguza presha ya washabiki anatafutwa mtu mzuri na wa bei ya chini anatangazwa kwamba yeye ni bora kuliko Diamond, na kura zinapigwa anashinda, watu wanakuwa wanaomba nyimbo zake sana.

Baada ya kampeni kushika ndo mnaambiwa Ali K atakuwepo, so mnaona kwamba Ali K ni bora kuliko Diamond na kunakuwa hakuna kumuulizia kwa sababu tayari mnaye Ali K ambaye ni mzuri zaidi.
Hayo ni mawazo yako lakini.
 
Hiyo mikataba wanayosainishwa wanaisoma lakini.?
 
Hili tamashama na zama hizi za muheshimiwa mmmh mambo yatakuwa magumu
 
Hiyo mikataba wanayosainishwa wanaisoma lakini.?
Wanaangalia Kiasi cha Mpunga tu alafu Wanasaini. Labda huenda walipewa hiyo mikataba waisome kwanza siku zilizopita kabla hawajasainishwa.
 
Wanaangalia Kiasi cha Mpunga tu alafu Wanasaini. Labda huenda walipewa hiyo mikataba waisome kwanza siku zilizopita kabla hawajasainishwa.
Halafu mtu baadae mtu anaanza kulalamika eti Mawingu Fm wanyonyaji.... wakati yeye anasoma $ tu bila kuangalia mengineyo.
 
Ndo msanii wapi huyo?
Huyo si Msanii,ni Presenter wa Radio ya Clouds FM kwenye kipindi maarufu XXL kinachoruka hewani Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa Saba mchana mpaka saa kumi.

Ni maarufu sana kwa majina ya B-12,B Dozen au B-Twangala,B Twizzy lakini jina lake halisi ni Hamis Mandi. Pia ni mjasiriamali,anamiliki duka la pamba maarufu kama "BORN 2 SHINE."
 
Back
Top Bottom