Usalama kwa Dkt. Bashiru: Lolote likimtokea tumewajua wabaya wake

Usalama kwa Dkt. Bashiru: Lolote likimtokea tumewajua wabaya wake

Kwani aliyempiga Tundu lissu humjui? saa nane humjui? mbona uko kimya mlifanya nini?
Siwajui hao,sababu hawakujitokeza hadharani!

Tunawajua hawa wa Bashiru sababu wamejitokeza hadharani wenyewe!
 
Very bad awe tu makini maana hao hao waliouwa watu kwa viroba na kumhusisha Dkt Magufuli na Rais Samia siku hizi wanaua kwa sumu kali na wamenunua vyombo vya habari wala huwezi kusikia. Dkt Bashiru watamuondoa kwa hilo limtindo la sumu kali ya kuua polepole
 
Bashiru kapotoka pakubwa. Huwezi kuhamasisha watu waichukie selikali bila sababu za msingi. Kama ni changamoto hakuna selikali ambayo haina changamoto dunia nzima na ndoomaana toka tumepata Uhuru mpaka Leo changamoto zipo. Hata yeye Bashiru akiwa raisi changamoto hawezi zimaliza. Kanikera mnooo awajibishwe ipasavyo
 
Alipokuwa katibu mkuu wa ccm alifunga mdomo wenzake sasa na yeye acha akutane na kile ambacho miaka michache wenzake walikutana nacho.

Ubaya hulipwa kwa ubaya, kipindi Magu ni Rais huyu Bashiru alikuwa akiwaumiza watu sana kwa kauli zake za kibabe.

Mimi sio miongoni mwa mapopoma ambao kusahau kwao ndio tabia kuu. Nasema wacha Karma ifanye kazi
 
Siwajui hao,sababu hawakujitokeza hadharani!

Tunawajua hawa wa Bashiru sababu wamejitokeza hadharani wenyewe!
Wewe hujui serikali baki humu humu kwenye keyboard ndio maana hata mwenyekiti Mbowe aliwekwa huko miezi na hakuna hata mtu aliyethubutu kushika bango tu. ushujaa wetu humuhumu JF kama kuna mwanamme kweli atoke barabarani. Hao unawaona wanatukana lakini hawafanywi kitu usidhani wenzako hao wanatumwa kama chambo sasa katukane wewe utaona shughuli yake. usijidanganye hata siku mmoja ukaona mbona A anatukana na anajukalina lakini hashikwi ngona na mimi nitukane ndio utaita meeee
 
Na hata kule #Iran walikuwa hivyohivyo hadi majuzi ndio wameelewa maana halisi ya Nguvu ya UMMA!

Nguvu ya UMMA ni nguvu ya UMASKINI inapoamua hata Sanamu ingawa haziongei,lakini huwa zinaonja Joto!

Wewe huelewi alama za Nyakati,kama ilivyo kwa wana CCM wenzako mliorundikiwa ujinga 100%
JamiiForums896815200.jpg
 
Na hata kule #Iran walikuwa hivyohivyo hadi majuzi ndio wameelewa maana halisi ya Nguvu ya UMMA!

Nguvu ya UMMA ni nguvu ya UMASKINI inapoamua hata Sanamu ingawa haziongei,lakini huwa zinaonja Joto!

Wewe huelewi alama za Nyakati,kama ilivyo kwa wana CCM wenzako mliorundikiwa ujinga 100%View attachment 2423696
Iran ni issue nyingine haya hayajaanza leo kinachotokea Iran ni jambo dogo sana lakini kwa media za kimataifa utasikia kelele sana tu media wakitaka jambo lao hata dogo watalifanya kubwa leo hii unasikia corona? lakini wakitaka tena tuimbe corona wanaweza mara moja. sio kila jambo unalosikia huko CNN sijui BBC ukadhani ukweli. Haya ya Iran wala sio issue ni kwa sababu wako katika majadiliano kila mtu anataka kushika mpini ili apate nguvu kupata anachotaka. walisema N. korea yako wapi kimyaa
 
Malipo ni hapa hapa. Leo Dr Bashiru anaishi kwa hofu?

Vipi wale waliotengenezewa kesi za mauaji na ubakaji wakaozea jela kwa sababu tu alitaka majimbo na kata ziwe wazi ili ccm ishinde?

Dhambi ni mbaya sana hasa Mungu akiamua kusikiliza vilio vya watu wake.
Tena ikibidi auliwe haraka sn ameua watu wengi sn ni mshenzi sn
 
Hana madhara. Arudi chuo akafundishe aliyempa nafasi hayupo
 
Kashindwa kusoma alama za nyakati zama zao za udikteka na ujinga zilishapita, hawezi endana na mfumo wa sasa
 
Unajua kilichomkuta Kinana chini ya Ccm ya bashiru?

Unataka kusema Bashiru alimshughulikia kinana? Mimi nazungumzia logic ya kumshambulia bashiru wakati maneno aliyosema bashiru kwa wakulima ni the same aliyoyasema kinana miezi miwili iliyopita.
 
Chawa Bashiru alikuwa mtu mkubwa sana katika uongozi wa nchi wakati utekaji na viroba vimepamba moto, alikaa kimya na hakuwahi kusema chochote, tuondolee ujinga
Kwahiyo ni viroba vya Tanga vya wale watimbaji wa madini vya mwaka huu Bashiru ni kiongozi mkubwa??.Na hoa viongozi wako wakubwa wa sasa wamefanya nini cha zaidi??😂😂😂
 
Siasa za kutekana, kutesana, kuuana na kufunguliwa makesi yasiyonna dhamana kama utakatishaji pesa ziliondoka na yule mungu wa Chato Machi 17, 2021.

Bashiru asiwe na wasiwasi kwa kuwa ametoa maoni yake na Samia anawheshimu maoni ya watanzania kwa vile ni haki ya kikatiba.
Na wale wakibiti ambao mzee Magu aliwakomesha watakuwa hawajarudi kweli??.Wale ndo wanatisha balaa.
 
Waliomjibu BASHIRU wamefanya vizur sana,Kwa kuwa hakuna la maana alilosema kipindi kile yupo madarakani hakusimamia maneno hayo,Leo hayupo anageuka nyuma Kwa lipi?aachie ubunge arud mtaani
 
Back
Top Bottom