Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kweli mkuu,inaumiza sana kwa sababu inarudisha nyuma badala ya kwenda mbele;wasi wasi wangu ni kuwa,inakuwaje maeneo yaleyale ya huduma kifanyike kitu cha namna hiyo...sio kwamba hawa jamaa wanafahamiana?Kwanza pole mkuu, ila hio inatokea sana, wanachukua advantage kwamba wamama au wanawake hawawezi kukimbia, pia umakini unahitajika sana
Alitumia mazoea tu mkuu,wakati mwingine alikuwa anaenda hapo hapo hata kutoa zaidi ya hicho,ila sasa naona kama ni mkosi fulani mkuu.Kwa kiasi hicho angetakiwa awe na mtu wa kumpeleka na ushasema ni mama
Kweli mkuu,inaumiza sana kwa sababu inarudisha nyuma badala ya kwenda mbele;wasi wasi wangu ni kuwa,inakuwaje maeneo yaleyale ya huduma kifanyike kitu cha namna hiyo...sio kwamba hawa jamaa wanafahamiana?
Ni kweli mkuu,ingawa akili inakuja baada ya kupotezaYeah, pia inawezekana, mm nilikua naenda kuwatolea mwenyewe, wananipa password zao, hatua ya kwanza kwa sasa muambie bimkubwa aende sehemu nyengine kama ipo karibu, yaani abadilishe
Asante mkuu,moyo unauma sana ila faraja niliyoipata fedha inatafutwa ila uhai ni muhimu zaidi.Hiyo ni ajali km ajali nyingine pole
zero 3Mkuu kiwanho cha chini cha kutoa pesa ni shilingi 1,000 sasa bi mkubwa aliwezaje kutoa mia nane?Au mimi ndo sijaelewa?
mtoa mada umekosea njia, hapa tunajadili kuhusu migegedo.
Asante mkuu,inabidi kukubali matokeoPole sana kwa kuibiwa na wajanja wa kitaa
ha ha ha ndio marafiki zetu hao,wanatuibia n.kHaha hii ni kweli kabisa hili jukwaa hatari
Zilikuwa ndani ya mkoba mkuuSasa kibaka aibe 800
Kweli mkuu,nadhani walimchorea ramaniAlikuwa kashika pochi, huo wizi upo sana hasa sio kwenye hivyo vibanda2 ila kila sehemu upo. Tena masokoni ndio usiseme