Mazoea mkuu
Kiswahili kinaenda kikibadilika na nyakati...Umemaanisha 800 au ulitaka andika laki nane?
Pole zimuendee bimkubwa..pesa inatafutwa kikubwa pumzi.
kweli kibaka njaa njaa.Zilikuwa ndani ya mkoba mkuu
Kuna baadhi ya sehemu unalipia cashJana mtu kanijulisha kwamba kaporwa 1.7M akitoka MPESA. Sasa najiuliza kazi ya mobile money services ni nini kama watu bado wanataka kutembea na mabunda ya pesa.
Uko sahihi mkuu,huwa tunakata zero 3Kiswahili kinaenda kikibadilika na nyakati...
Nikikuomba unikopeshe 100....tunaelewa ni laki 1.
Equation x atakuwa alimaanisha laki 8
Laki 8,kweli mkuu uhai ni muhimu zaidi ela inatafutwa.Umemaanisha 800 au ulitaka andika laki nane?
Pole zimuendee bimkubwa..pesa inatafutwa kikubwa pumzi.
Kuna muda unahitaji cashJana mtu kanijulisha kwamba kaporwa 1.7M akitoka MPESA. Sasa najiuliza kazi ya mobile money services ni nini kama watu bado wanataka kutembea na mabunda ya pesa.
800,000? Mtumie basi akampoze mamambna hela ndogo sana hiyo haiumizi
Ni kweli mkuuUsalama wa hizo sehemu wewe mtoa hela ndio unatakiwa ujiridhishe.
Kweli mkuu ila kuna cha kujifunzambna hela ndogo sana hiyo haiumizi
Mkuu kiwanho cha chini cha kutoa pesa ni shilingi 1,000 sasa bi mkubwa aliwezaje kutoa mia nane?Au mimi ndo sijaelewa?
Sasa kibaka aibe 800
Perhaps