Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana

Jana mtu kanijulisha kwamba kaporwa 1.7M akitoka MPESA. Sasa najiuliza kazi ya mobile money services ni nini kama watu bado wanataka kutembea na mabunda ya pesa.
 
Kama ikiwezekana siku nyingine nendeni nayo hapo hapo alafu mnakuwa wanaume km wawili mnatega kwa nyuma
 
Jana mtu kanijulisha kwamba kaporwa 1.7M akitoka MPESA. Sasa najiuliza kazi ya mobile money services ni nini kama watu bado wanataka kutembea na mabunda ya pesa.
Kuna baadhi ya sehemu unalipia cash
 
Usalama wa hizo sehemu wewe mtoa hela ndio unatakiwa ujiridhishe.
 
Jana mtu kanijulisha kwamba kaporwa 1.7M akitoka MPESA. Sasa najiuliza kazi ya mobile money services ni nini kama watu bado wanataka kutembea na mabunda ya pesa.
Kuna muda unahitaji cash
 
Back
Top Bottom