Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

DC inapigaje shoti?? Maana ndo umeme tunaotumia kuchomea magrill hapa Kazulamimba
 
Kama watu huwa wanaingia na kuiba kwenye mabenki hizo electrical fence, alarms na CCTV cameras zinasaidia usiibiwe na vibaka wa kawaida lakini professionals hivyo ni vitu vidogo sana labda uongeze na security guards wenye silaha.
 
Hiyo ni mashine ndogo sana. Mimi nimefunga Wizard 2 NEMTEK inapiga siku 3 bila umeme. Usifanye ubahili
Safi sana! Kuna siku isiyo na jina TANESCO watakuja kutukalisha wiki nzima bila umeme
 
Kumbe na mimi nina pesa man, security system yangu ni zaidi ya yote mliyoongelea hapa, nilifikiri ni uoga wangu tu, kumbe na pesa pia!!
 
Kumbe na mimi nina pesa man, security system yangu ni zaidi ya yote mliyoongelea hapa, nilifikiri ni uoga wangu tu, kumbe na pesa pia!!
Pesa kivipi mkuu? Nilichozungumza ni kingine huwezi kuta masikini kafunga electric fence hata iweje maana hana cha kupoteza isipokua roho yake
 
Mbeya hata uweke umeme wa H.E.P, Ufunge Sportlight au Camera za 4k, Wahuni wakisoma Gepu la dusko wanasalua tu.
 
Hizo waya zikiwashwa zina umeme na umeme wake ni wa kutosha kukubabua vizuri tu, namaanisha jinsi zinavyoungwa umeme wake unajitegemea na mtambo wake unajitegemea sasa wewe jisogeze kwenye high voltage uone kitakacho kupata utababuka
Kuna mtu alipipigwa shock, akaruka kama mita 10 hivi 🀣🀣🀣 wazazi wake wakaja kulalama mbona umeweka umeme mkubwa hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkuu iyo kitu inasaidia sana, mimi mwaka wa tatu huu mwizi nimemsahau.walikuwa wananipa shida sana kabla
 
Watu wakikuhitaji mkuu ni balaa.

Sasa jamaa anaamini electronics tu qnasahu mbina za kimedqni za kujilinda.

Mbeya hata uweke umeme wa H.E.P, Ufunge Sportlight au Camera za 4k, Wahuni wakisoma Gepu la dusko wanasalua tu.
Ndiyo lengo la uzi huu kuelimishana kuwa ni kwa kiasi gani hizo nyaya zinasaidia na kama kuna mbinu ambazo wahuni wanaweza kuzitumia kuzifanya zisifanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…