Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Hizo ni style za South Africa. Na mara nyingi hii style huwa inaambatana na kifo au vifo.Unaingia getini wahuni wanaingia nyuma yako kabla geti halijafungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni style za South Africa. Na mara nyingi hii style huwa inaambatana na kifo au vifo.Unaingia getini wahuni wanaingia nyuma yako kabla geti halijafungwa.
DC inapigaje shoti?? Maana ndo umeme tunaotumia kuchomea magrill hapa KazulamimbaMkuu,
Kwa manufaa ya jukwaa. Umeme unaotumika ni wa majumbani. Tofauti umeme wake ni DC yani direct current na umeme wa majumbani ni AC yani alternate current.
Kinachofanyika ni kuwa controller yake ina AC to DC converter ambayo ubadili umeme wa kawaida AC kuwa wa DC.
Uwepo wa DC power ndio inafanya zile nyaya kuwa hatari zaidi.
Pia controller yake ina inbuilt betri inayokaa masaa manne iwapo umeme ukikatika.
No need of backup generator...
Hiyo ni mashine ndogo sana. Mimi nimefunga Wizard 2 NEMTEK inapiga siku 3 bila umeme. Usifanye ubahiliKuna mtu amesema masaa 4 labda zinatofautiana uwezo. Betri za kuanzia masaa 24 na kuendelea hapo inatosha kabisa.
Kama watu huwa wanaingia na kuiba kwenye mabenki hizo electrical fence, alarms na CCTV cameras zinasaidia usiibiwe na vibaka wa kawaida lakini professionals hivyo ni vitu vidogo sana labda uongeze na security guards wenye silaha.Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika.
Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi.
Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye electric fence?
Je, ukiweka hizo nyaya za ulinzi za umeme bila kuweka cameras, wahalifu wanaweza kata hizo nyaya na kuingia ndani kirahisi?
Nauliza haya maswali kwa sababu nataka kuweka ulinzi wa aina hii katika eneo la heka moja bila kutegemea sana cameras ingawa zitakuwepo chache.
Halafu hizo siku 3 ni kama umewasha muda wote sasa kama mimi nawasha usiku tu, maana yake inaweza kupiga mzigo hata siku 5Safi sana! Kuna siku isiyo na jina TANESCO watakuja kutukalisha wiki nzima bila umeme
Kumbe na mimi nina pesa man, security system yangu ni zaidi ya yote mliyoongelea hapa, nilifikiri ni uoga wangu tu, kumbe na pesa pia!!Mfumo wake ni separate kabisa na umeme wa nyumba ila umeme ni huuhuu kwenye kuunga ndio wanatenganisha ila kwa wenye pesa nyingi unaungwa na standby generator ile ya hapo kwa hapo isiyopiga makelele niliikuta sehemu moja tu umeme ukizima generator linawaka fasta hapo hapo na ukirudi linasubiri dakika kadhaa linajizima lenyewe huwezi jua km kuna generator maana halipigi kelele, nazungumzia wenye pesa
Pesa kivipi mkuu? Nilichozungumza ni kingine huwezi kuta masikini kafunga electric fence hata iweje maana hana cha kupoteza isipokua roho yakeKumbe na mimi nina pesa man, security system yangu ni zaidi ya yote mliyoongelea hapa, nilifikiri ni uoga wangu tu, kumbe na pesa pia!!
Kuna nyumba moja ilikuwa na hizo nyaya, vingora na mbwa. Wezi siku moja walikula timing wakaingia getini mwenyewe alipokuwa anaingia.Unaingia getini wahuni wanaingia nyuma yako kabla geti halijafungwa.
Watu wakikuhitaji mkuu ni balaa.Kuna nyumba moja ilikuwa na hizo nyaya, vingora na mbwa. Wezi siku moja walikula timing wakaingia getini mwenyewe alipokuwa anaingia.
uliwahi kushika hizo nyaya au huo umeme?DC inapigaje shoti?? Maana ndo umeme tunaotumia kuchomea magrill hapa Kazulamimba
Njia ya pekee kutest ni kugusanisha waya. Zikigusana inapiga alarm. Sasa kama alarm ipo disconnected ndio hapo huwezi kujua.Ila watajuaje kama betri nalo limekata moto?
Eti zerominus10 Mhandisi Mzalendo kuna jinsi ya vibaka kutest nyanya kama zina moto pale umeme unapokuwa umekatika?
Sio kazi ya electric fence kuzuia watu kuingia kupitia getini.Unaingia getini wahuni wanaingia nyuma yako kabla geti halijafungwa.
Kuna mtu alipipigwa shock, akaruka kama mita 10 hivi 🤣🤣🤣 wazazi wake wakaja kulalama mbona umeweka umeme mkubwa hivyo 😂😂😂Hizo waya zikiwashwa zina umeme na umeme wake ni wa kutosha kukubabua vizuri tu, namaanisha jinsi zinavyoungwa umeme wake unajitegemea na mtambo wake unajitegemea sasa wewe jisogeze kwenye high voltage uone kitakacho kupata utababuka
Wala sio ninachomaanisha mkuu.Sio kazi ya electric fence kuzuia watu kuingia kupitia getini.
Unachomaanisha ni kwamba huo mfumo ulifanya kazi.
Watu wakikuhitaji mkuu ni balaa.
Sasa jamaa anaamini electronics tu qnasahu mbina za kimedqni za kujilinda.
Ndiyo lengo la uzi huu kuelimishana kuwa ni kwa kiasi gani hizo nyaya zinasaidia na kama kuna mbinu ambazo wahuni wanaweza kuzitumia kuzifanya zisifanye kazi.Mbeya hata uweke umeme wa H.E.P, Ufunge Sportlight au Camera za 4k, Wahuni wakisoma Gepu la dusko wanasalua tu.