Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

Yaan ukikosea hata wewe mwenyewe zinakuadhibu vibaya sana halafu zina umeme mkali hatari sana ule umeme unaobabua haufai kabisa

Yani jani la mti likigusa hizo nyaya...utasikia tiii tiii tii tiii tiii.. asubui unakuta limeungua hiyo sehemu...so kama hujui ukigusa huo mti...nadhani utajisikia uko Tanesco... 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo hapo inaonyesha kuna umuhimu wa kuhakikisha hakuna miti karibu na fence ili majani yasiangukie nyaya.
 
Yani jani la mti likigusa hizo nyaya...utasikia tiii tiii tii tiii tiii.. asubui unakuta limeungua hiyo sehemu...so kama hujui ukigusa huo mti...nadhani utajisikia uko Tanesco... 🤣 🤣 🤣 🤣
Usijaribu kugusa kabla haujazima kule kudadek nyoka walikua wanafia kwenye waya alarm inapiga kelele kuja kucheck mijoka imeunguzwa imekauka kaukau hatari kabisa
 
Usijaribu kugusa kabla haujazima kule kudadek nyoka walikua wanafia kwenye waya alarm inapiga kelele kuja kucheck mijoka imeunguzwa imekauka kaukau hatari kabisa
Kuna jirani yangu kwake kuna paka walikua na tabia ya kuruka kuingia ndani kwake sasa hawakujua kuwa kuwa jirani kaweka kitu cha moto.... kuna siku tumesikia tuu nyuuuuuuuuuuu.....paaaaaaa
Kwishney....
 
Sio ukitaka kukata ukitembelewa na nyoka au jani gumu au matawi magumu ya mti yakigusa alarm inalia bwiii bwiii mtatafuta shida ilipo hata ikiwa saa 1 usiku bila hivyo muwapigie wenyewe waliounga waje kucheck shida nini na hapo lazima mkaizime maana majirani hawatolala kwa hio mikelele ya alarm
Samaleko
Ko inaitwa bwiiii bwiiiiii?
Mkuu unafaa kuwa ticha 🤣
 
Ile mikelele sio poa dah km kuna zimamoto wanawahi sehemu sasa piga picha ile mikelele ya fire wanawahi kuzima moto ndio inalia nyumbani kwa mtu usiku mwingi majirani wote lazima waamke
Ahhh wakati wana test home mafundi walipomaliza...waligusanisha nyaya ili tusikie alarm yake aisee sio poa...nikawaambia hawawezi kupunguza sauti akasema wakati wengine wanataka iwe kali zaidi ya hapo...nikasema hii kali.
 
Back
Top Bottom