Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wana mbinu ndio ila atleast uwape hard time kidogo kwny zile options zao ambazo huwa ni nyepesi...Ila wezi wana mbinu sana
Hasa kuruka ukuta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mbinu ndio ila atleast uwape hard time kidogo kwny zile options zao ambazo huwa ni nyepesi...Ila wezi wana mbinu sana
Yaan ukikosea hata wewe mwenyewe zinakuadhibu vibaya sana halafu zina umeme mkali hatari sana ule umeme unaobabua haufai kabisa
Kwa hiyo hapo inaonyesha kuna umuhimu wa kuhakikisha hakuna miti karibu na fence ili majani yasiangukie nyaya.Yani jani la mti likigusa hizo nyaya...utasikia tiii tiii tii tiii tiii.. asubui unakuta limeungua hiyo sehemu...so kama hujui ukigusa huo mti...nadhani utajisikia uko Tanesco... 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndio....au yakigusa hakikisha hauushiki mti..Kwa hiyo hapo inaonyesha kuna umuhimu wa kuhakikisha hakuna miti karibu na fence ili majani yasiangukie nyaya.
Betri inakaa na moto masaa 72 maana ya siku 3 bado TANESCO watakuwa hawajarudisha tu umeme?Ila watajuaje kama betri nalo limekata moto?
Eti zerominus10 Mhandisi Mzalendo kuna jinsi ya vibaka kutest nyanya kama zina moto pale umeme unapokuwa umekatika?
Usijaribu kugusa kabla haujazima kule kudadek nyoka walikua wanafia kwenye waya alarm inapiga kelele kuja kucheck mijoka imeunguzwa imekauka kaukau hatari kabisaYani jani la mti likigusa hizo nyaya...utasikia tiii tiii tii tiii tiii.. asubui unakuta limeungua hiyo sehemu...so kama hujui ukigusa huo mti...nadhani utajisikia uko Tanesco... 🤣 🤣 🤣 🤣
Sure...mimi nimeprove siku mbili inawaka...Kuna mtu amesema masaa 4 labda zinatofautiana uwezo. Betri za kuanzia masaa 24 na kuendelea hapo inatosha kabisa.
Kuna jirani yangu kwake kuna paka walikua na tabia ya kuruka kuingia ndani kwake sasa hawakujua kuwa kuwa jirani kaweka kitu cha moto.... kuna siku tumesikia tuu nyuuuuuuuuuuu.....paaaaaaaUsijaribu kugusa kabla haujazima kule kudadek nyoka walikua wanafia kwenye waya alarm inapiga kelele kuja kucheck mijoka imeunguzwa imekauka kaukau hatari kabisa
SamalekoSio ukitaka kukata ukitembelewa na nyoka au jani gumu au matawi magumu ya mti yakigusa alarm inalia bwiii bwiii mtatafuta shida ilipo hata ikiwa saa 1 usiku bila hivyo muwapigie wenyewe waliounga waje kucheck shida nini na hapo lazima mkaizime maana majirani hawatolala kwa hio mikelele ya alarm
Hahaha paka imemfagia haraka sanaKuna jirani yangu kwake kuna paka walikua na tabia ya kuruka kuingia ndani kwake sasa hawakujua kuwa kuwa jirani kaweka kitu cha moto.... kuna siku tumesikia tuu nyuuuuuuuuuuu.....paaaaaaa
Kwishney....
Ile mikelele sio poa dah km kuna zimamoto wanawahi sehemu sasa piga picha ile mikelele ya fire wanawahi kuzima moto ndio inalia nyumbani kwa mtu usiku mwingi majirani wote lazima waamkeSamaleko
Ko inaitwa bwiiii bwiiiiii?
Mkuu unafaa kuwa ticha 🤣
Inawezekana hivi vitu vinazuia hadi majini 😂😂Kuna jirani yangu kwake kuna paka walikua na tabia ya kuruka kuingia ndani kwake sasa hawakujua kuwa kuwa jirani kaweka kitu cha moto.... kuna siku tumesikia tuu nyuuuuuuuuuuu.....paaaaaaa
Kwishney....
Aah ahhah hakupumuaa...nadhani alikua anang'ang'ana kupit chini ya nyaya...Hahaha paka imemfagia haraka sana
Km nyoka tu wanavyojinyonga nyonga kwenye ule waya yaan wanajizungusha wanapigwa shoti kweli mpaka wanafia mulemuleAah ahhah hakupumuaa...nadhani alikua anang'ang'ana kupit chini ya nyaya...
Ahhh wakati wana test home mafundi walipomaliza...waligusanisha nyaya ili tusikie alarm yake aisee sio poa...nikawaambia hawawezi kupunguza sauti akasema wakati wengine wanataka iwe kali zaidi ya hapo...nikasema hii kali.Ile mikelele sio poa dah km kuna zimamoto wanawahi sehemu sasa piga picha ile mikelele ya fire wanawahi kuzima moto ndio inalia nyumbani kwa mtu usiku mwingi majirani wote lazima waamke
Kweli mkuu!Ile mikelele sio poa dah km kuna zimamoto wanawahi sehemu sasa piga picha ile mikelele ya fire wanawahi kuzima moto ndio inalia nyumbani kwa mtu usiku mwingi majirani wote lazima waamke
Ile Mikelele balaa wote mnaona kero na hakuna atakaeweza kulala kwa ile mikeleleAhhh wakati wana test home mafundi walipomaliza...waligusanisha nyaya ili tusikie alarm yake aisee sio poa...nikawaambia hawawezi kupunguza sauti akasema wakati wengine wanataka iwe kali zaidi ya hapo...nikasema hii kali.
Kelele kelele yaan sio poaKweli mkuu!
Kama alarm ya gari inaweza kusumbua hiyo itakuwa ni mara Tatu zaidiii