Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

Nyumba nyingi zinazodhaniwa kuwa zipo salama ndio hazipo salama hii ni kwasababu watu wengi wame focus kwenye kuzuia mhalifu kuingia ndani ila wamesahau kuhusu hatari ikitokea ndani na ukawa unataka kutoka nje.

Unakuta nyumba ina ukuta mrefu, juu waya za umeme au seng'enge huku madirisha ni nondo hata kichwa hakipiti, unakuta hadi milango ni chuma paa limeziba kila kona hakuna hata kunapopumulia kamamoto ukiwakandani moshi utoke nje.

Huu sio ulinzi bali ni balaa kubwa sana.
 
Madirisha na milango ya chuma na nondo ni umaskini na mazoea. Mimi siyo mpenzi kabisaaa wa aina hiyo ya ujenzi.

Kuna njia bora za kuweka ulinzi kwenye nyumba yako bila kuharibu nakshi na uzuri wa nyumba. Katika mazingira yetu ukuta na waya za umeme ni moja ya njia sahihi. Uzi huu unasaidia kufumbua watu macho.

Majanga ya moto unadili nayo kwanza kwa kuhakikisha una vifaa vya kwanza vya kuzima moto, kitu ambacho nyumba nyingi hawana, ndiyo maana nikasema shida ni umaskini na mazoea. Pili ukitoka nje wakati wa moto si lazima uruke ukuta ndiyo uwe salama. Kama eneo ni la kutosha inatosha kwanza kusogea mbali na eneo la moto.
 
Je, ukiweka hizo nyaya za ulinzi za umeme bila kuweka cameras, wahalifu wanaweza kata hizo nyaya na kuingia ndani kirahisi?
Usifanye mchezo na ule Umeme. Wezi walikuja kwangu wakajaribu kukata nyaya. Na kuvaa kwao gloves za plastic walipigwa na Umeme tukawakuta wamelala flat
 
Kama kuna mali, weka ata wawili kwa bajeti ya laki 3 kwa mwezi
Ninachopendelea technology haina hisia wala haiangalii sura ya mtu katika kufanya maamuzi. Mimi ndiyo maana naikubali sana internet.

Mgambo au masai anaweza pitiwa na usingizi, anaweza shambuliwa, nk. ila umeme au alarm ukiingia anga zake zinareact bila kujali ni nani. Ndiyo maana tunasema ni vizuri ukawa na solution zaidi ya moja zinazosapotiana.
 
Hii ni kudhibiti vibaka wasumbufu. Ila watu wakiamua wanapitia getini

Na hawajali alarm ya wala king'ora wala kelele.

Kitu pekee kitakachowabadilisha mawazo ni mlio wa kilipuzi
Mageti nayo yanahitaji kuyawekea vizingiti vyake ikiwemo uimara na utaratibu mzuri wa uingiaji na utokaji. Hapa umuhimu wa cameras na Mlinzi mwenye silaha ndiyo unapoingia.
 
MBWA, MBWA, MBWA.
Kuna Mbwinu Kiboko Ya Mbwa Sitoiweka Hapa Kwa Usalama Wa Wafuga Mbwa.

Hata Awe Mbwa Wa Nani Au Wa Nini Kikubwa Awe Mbwa.Kuna Mtu Mmoja Aliwahi Kuweka Dau La Laki Moja Kwa Mtu Atakae Weza Kwenda Kumfunga Kamba Mbwa Wake Ndani Ya Banda Mwenyewe Alijiamini Kwamba Mbwa Wake Ana Mafunzo Na Mkali.

Kilichotokea Kuna Mwamba Akaichukua Laki Mapema Sana Kabla Ya Misa Ya KwanzA.
 
Moja ya kumi.
 
Kuna jirani yangu kwake kuna paka walikua na tabia ya kuruka kuingia ndani kwake sasa hawakujua kuwa kuwa jirani kaweka kitu cha moto.... kuna siku tumesikia tuu nyuuuuuuuuuuu.....paaaaaaa
Kwishney....
Paka hawakujua?
 
Yaan ukikosea hata wewe mwenyewe zinakuadhibu vibaya sana halafu zina umeme mkali hatari sana ule umeme unaobabua haufai kabisa
inamaana mkuu ukiwa umewasha umeme haifai hata kushika geti lako maana naonaga nyaya zimepita hadi juu ya geti kubwa au hazinaga madhara sehemu hiyo.? na vp kama utazipiga piga nyaya hizo kwa fimbo au mti ama jiwe nako itapiga shoti si unajua watoto watukutu wa mtaa kupenda kujaribu jaribu.
 
Ile mikelele sio poa dah km kuna zimamoto wanawahi sehemu sasa piga picha ile mikelele ya fire wanawahi kuzima moto ndio inalia nyumbani kwa mtu usiku mwingi majirani wote lazima waamke
kweli mkuu sio poa maana watu wenye visa na ww wakitaka kukuchonganisha na majirani wanatafita jiti au jiwe anarushia kupiga nyaya basi mikelele mtaa mzima..lakini mkuu hio alarm inalia dakika ngapi au itapiga kelele tu mpaka itakapozimwa.? kwani hio electric fence lazima ipige alarm au ini uamuzi wako tu wakati wa kuset mfumo ipige au isipige alarm yaani ifungwe tu bila hayo makelele..maana kule kumchapa mtu shoti inatosha mbona hiyo alarm ya kazi gani zaidi ya kero kwa wengine.!
 
Hii ni kumfanya tu atumie muda mrefu
Ila wajuvi wanapoga silence grill kwa ukuta wanatomoa wanaongia na nyaya zako hawazigusi
 
Back
Top Bottom