Usalama wa taifa kazi yao nini? Watuambie Panya road ni akina nani?

Ni kwanini hadi leo tunasumbuliwa na Panya road? Kazi ya Usalama wa taifa ni nini?
mbona panyaroad wameishakamatwa mkuu polisi wanafanya kazi nzuri sana polisi wanamfumo wa upelelezi kama wa tiss tu ndio mana wale panyaroad wa chanika na kunduchi wako central pale wanapata chai yao saizi
 
Sawa lakini Hawa huripoti kila kitu hata mvua ikinyesha wanaripoti,kwanini hawajaripoti suala la panya road?
polisi wana mfumo wao wa kupata taarifa ndio mana wameweza kuwapata panyaroad wote kwa urahisi kuna jamaa yangu yuko kwenye iyo operation wamevidaka kama kuku wamekandwa vizuri wakaongea kila kitu
 
Sasa huoni kwamba hili pia ni kazi yao..nilitegemea kabla halijatokea waweweshalijua na weshatoa taarifa...pia hata baada ya kutokea wao ndio wangetoa taarifa hili kundi likoje linajiendeshaje naeeting point ni wapi..mambo kama hayo..sasa kama kikundi kidogo kama hicho kinasumbua hivo taifa je wakija wajuzi tutajua kweli.
 
Unaweza ukawa na taarifa ukampa mtu ili azifanyie kazi. Mtu husika akapuuzia.

Hapo huwezi kujua pengine walitoa taarifa ila hazikufanyiwa kazi ipasavyo
 
Huenda we sio Mtanzania
Ama wewe ni wale mnaobana pua na kujiona mnamaisha mazuri.
Okay
 
Watanzania muamke. System na TISS wameibua suala la panya road ili muache kujadili ripoti ya CAG
 
Ni kwanini hadi leo tunasumbuliwa na Panya road? Kazi ya Usalama wa taifa ni nini?
Hata kama sijuwi ila usalama wa taifa hayo si ajukumu yaohaya ni majukumu ya jeshi la polisi.Rejea ktk swali lako na uache uvivu kufikiri vema.Umesma usalama wa taifa hilo neno jibu tosha labda ungeomba ufafanuzi kiundani.Hawa usemao panya road wanahatarisha usalama wa raia na mali zao.
 
Huwa najiuliza nikiona apple [emoji519] za nje zinauzwa Tz ,vitunguu na matikiti majinya Tz yanaozwa Kenya Kwa wingi tena nasikia Kenya Wana export hayo mazao Yani vitunguu,matikiti,na machungwa Kwa wingi kutoka Tanga to Nairobi then Europe kinachonifanya nijiulize ni hiki!!
1) kwann tiss isitunguze apple pendwa ijulikane zinatoka wapi na zinakua Katika Hali Gani ili zipandwe hapa kwetu !??namaanisha Yani mtu wa tiss aende zinapotoka aje na info kuwa udongo ukoje,Hali ya hewa ikoje,uchavushaji mbegu ukoje na mbegu zinapatikanaje Kisha hapa Tz wapi zaweza ota!?
2) vitunguu ,machungwa ,matikiti yanayushwa na malori Kwa wingi hasa namanga na holili,kwann tiss wasifatilie wajue Kila kitu kuwa after Kenya mzingo unauzwa wapi ili na sisi tuuze nje badala ya wakenya kudhulimu wakulima wetu Kwa bei za hovyo!?
 
Tiss wengi ni weupe
 
Panya road ni watoto wa mtaani, yaani street children na ni watoto wenu kuho huko mtaani.
 
Kiufupi Hao watu sio Law enforcers, There are there to Collect, analyse and advice authorities zenye mandate ya kui enforce law kama Police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…