Usalama wa Taifa kwa mapana yake unaongozwaje na kijana mbumbumbu Abdul? Tuko serious ?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?

Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.

Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?

Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.

Hawawazi Tena juu ya

Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k

TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .

Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.

TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .

Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.

HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
 
Andamana peke Yako mzee Mimi binafsi siwezi kufa Kwa ajili ya watanzania sababu Nina aakili timamu acha wale mapesa mpaka wavimbilwe maisha yenyewe naishi mara Moja kwanini nijiangaishena li nchi ambalo litadumu milele Mimi nitakua ardhini na nakuhakikishia tarehe 29 hamna mtu atakaeandamana yaani majitu yenye risasi na magwanda yao yanaiogopa hiyo familia sembuse Mimi mwenye jiwe
 
Andamana peke Yako mzee Mimi binafsi siwezi kufa Kwa ajili ya watanzania sababu Nina aakili timamu acha wale mapesa mpaka wavimbilwe maisha yenyewe naishi mara Moja kwanini nijiangaishena li nchi ambalo litadumu milele Mimi nitakua ardhini na nakuhakikishia tarehe 29 hamna mtu atakaeandamana
"Nakuhakikishia"

Kivip!?
 
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?

Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.

Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?

Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.

Hawawazi Tena juu ya

Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k

TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .

Kwamba
Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.

TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .

Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.

HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Hata Mombo anamuogopa Abdul. Abdul ndiye Rais. Atamtimua anytime akikataa maagizo yake. Woooooote akina Mulilo, Wambura, RCs, DCs, RPCs, all, all all government officials BOSS WAO NI ABDUL.
ABDUL ATAMTAARIFU MAMA KUWA HUYU ONDOA AKIWA AMESIMAMIA MKEKA...THEN ANAITWA YULE BINTI KUTANGAZA
 
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?

Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.

Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?

Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.

Hawawazi Tena juu ya

Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k

TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .

Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.

TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .

Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.

HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Unazidi kuchanganyikiwa tu. Hivi una hata muda wa kuifikiria familia yako kweli!!
 
Mkuu umeisikia sauti ya mpumbavu mmoja TISS akijitapa kupewa rushwa ya dollar laki mbili kutoka kwa mwenzie aliyechukua rushwa ya dollar million 2

Anajitapa kuwa Samia anatembea na mabilioni ya pesa kwenye magari yake

Unajiuliza afsa gani huyu anatoa Siri bila kuulizwa?

Aise Kama TISS Ina maafisa Kama Hawa Basi nchi hii ishauzwa tayari.
 
Oh weka hapa au naomba link.

The whole system is contaminated I can see
 
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?

Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.

Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI DHIDI YA SAMIA ?

Sio ajabu Nchi imeanikwa na imekua wazi kama nyeti za kuku wakati wa upepo Mkali!!.

Hawawazi Tena juu ya

Rasimali za Nchi
Uchumi
Afya
Umoja wa Kitaifa
Amani ya Taifa
Mahusiano na Mataifa ya nje
Utawala wa Sheria na KATIBA
Utulivu wa Siasa za Nchi
N.k

TISS imegeuka kua ka kikundi ka Samia na Mwanae na wanamitandao Kwa manufaa yao wenyewe .

Kwamba Utekaji Mauaji vizidi ,kwao sio shida, ili hali tu Wanaotekwa na kuuwawa ni Wapinzani wa Samia ( yaan hapa hawawazi hata ikiwa akatokea Rais Mwingine ghafla ghafla , Watu wakampenda ) itakuaje Kwa wale ambao tayari wameuliwa ?.

TISS haiwazi juu ya Umoja wa Kitaifa, kufuatia Chuki na Visasi vilivyoletwa na huyu Abdul .

Mambo ni mengi sana, yanayonipa sababu ya KUANDAMANA,, NIWAALIKE VIJANA WOTE WA NCHI HII MLOCHOSHWA NA HUYU MAMA NA MTOTO WAKE NA GENGE LAO, TAREHE 29/ OKTOBA NI AMA MAISHA YETU YAKOMBOLEWE AU MAISHA YAO YAISHIE JELA.

HAMNA NAMNA YOYOTE YA HAWA WAHUNI KUTUSHINDA
Mstari wa mbele kuuokoa taifa toka mikononi mwa majangili
 
Hela baba...
Hata wewe ukiwa na hela huyo huyo abuduli unamnunua pia
 
TISS inahitaji matibabu ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom