Usalama wa Taifa kwa mapana yake unaongozwaje na kijana mbumbumbu Abdul? Tuko serious ?

Usalama wa Taifa kwa mapana yake unaongozwaje na kijana mbumbumbu Abdul? Tuko serious ?

Hamna lolote. Wanaume wote mmezidiwa na huyo Abdul. Mmekalia kuandika nyuma ya keyboard tu. Nchi nzima wanaume ni maboya tu.
Samuya atapigwa show moja kali sana kesho kutwa hataamini macho na masikio yake kudadadadeq
 
Andamana peke Yako mzee Mimi binafsi siwezi kufa Kwa ajili ya watanzania sababu Nina aakili timamu acha wale mapesa mpaka wavimbilwe maisha yenyewe naishi mara Moja kwanini nijiangaishena li nchi ambalo litadumu milele Mimi nitakua ardhini na nakuhakikishia tarehe 29 hamna mtu atakaeandamana yaani majitu yenye risasi na magwanda yao yanaiogopa hiyo familia sembuse Mimi mwenye jiwe
Hahaha
 
Back
Top Bottom